Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Mechi tano za raundi ya kwanza zinachezwa raundi ya pili Alafu mamama wanaona poa.. Msomali ukikutana na mimi Misri unarudi kilema
 
Mechi tano za raundi ya kwanza zinachezwa raundi ya pili Alafu mamama wanaona poa.. Msomali ukikutana na mimi Misri unarudi kilema
Na mechi yenu na Azam FC, imecheza round ya kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Endeleeni kuteseka tuliwaambia hamkusikia

This Is Simba
 
Kipindi cha michezo jana redioni, aliulizwa " mmejipangaje kuwakabili Simba kesho? Mchezaji alijibu,"Sisi hatuna cha kupoteza." Aliulizwa, kwa hiyo mtacheza chini ya kiwango? Mchezaji alijibu, hapana.Leo tumejionea kweli Ndanda hawana cha kupoteza kwa kiwango walichoonyesha!
Hii mechi simba wamenunua kabisa haiwezekani yani Tanzania hatuji kuendelea kwa rushwa kama hizi

Alisikika kwa masikitiko makubwa mzee mmoja dimbwini jangwani
 
P
Na mechi yenu na Azam FC, imecheza round ya kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Endeleeni kuteseka tuliwaambia hamkusikia

This Is Simba
Huna akili hivi IQ yako imevuka 100%naongelea msimu mzima kambale wewe
 
Alaaa kumbee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…