Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Usiache andaa kingoma cha Uruguay tuAsanteee nitakutafuta
Twende nacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiache andaa kingoma cha Uruguay tuAsanteee nitakutafuta
Singida kwanza..Kituo kinachofuata ni wapi aise uhispania? ama
kumbe tutaingia mechi ya sevilla tukiwa mabingwa kamiliSingida kwanza..
Pointi mmoja tu Dada akeSimba anahitaji point ngapi ili awe bingwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Kaaah!sasa si bora tudroo tu mechi inginePointi mmoja tu Dada ake
Yanga akitoa sare hatuhitaji kuitafuta hata hiyo moja uwanjaniSimba anahitaji point ngapi ili awe bingwa?
Na mechi yenu na Azam FC, imecheza round ya kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mechi tano za raundi ya kwanza zinachezwa raundi ya pili Alafu mamama wanaona poa.. Msomali ukikutana na mimi Misri unarudi kilema
Simba 2-Ndanda 0pumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Hii mechi simba wamenunua kabisa haiwezekani yani Tanzania hatuji kuendelea kwa rushwa kama hizi
Alisikika kwa masikitiko makubwa mzee mmoja dimbwini jangwani
M nawashauri TFf Wawape point 6 za gemu zao zilizo baki kutoka kwa simba hili tumalize na Yanga
Au mnaonaje wadau tuweke petition
Simba anahitaji point ngapi ili awe bingwa?
Kunywa Sumupumbavu leo simba mnafungwa, litimu silipendi hili, ningekuwa na bomu ningewarushia
Huna akili hivi IQ yako imevuka 100%naongelea msimu mzima kambale weweNa mechi yenu na Azam FC, imecheza round ya kwanza [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Endeleeni kuteseka tuliwaambia hamkusikia
This Is Simba
Alaaa kumbeeKipindi cha michezo jana redioni, aliulizwa " mmejipangaje kuwakabili Simba kesho? Mchezaji alijibu,"Sisi hatuna cha kupoteza." Aliulizwa, kwa hiyo mtacheza chini ya kiwango? Mchezaji alijibu, hapana.Leo tumejionea kweli Ndanda hawana cha kupoteza kwa kiwango walichoonyesha!