Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha weee. Kama nakuona vile. 😜😜😜Mk 14
Duuh!
😀😀😀Mbona umeishia katikati?
Kila la kheri singida united nawatakia kipigo chema
Hamna bwana sikua najua Mtani, hivi ni Mbeya city ee? [emoji12][emoji12][emoji12]Hivi Mtani hata hii umeshindwa kugoogle au ndio unanitambia?
Yah! Hiyo hiyo Mtani.Hamna bwana sikua najua Mtani, hivi ni Mbeya city ee? [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448]Duuh!
Sawa Mtani. Mwaka wenu huu.[emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448]
Mmhh lakini mbona unaonekana mnyonge sana, nani kakuudhi ni KAGERE? huyu kagere mtu mbaya sana kwanini anamkosesha raha Mtani wangu, pole sana nitamchapa [emoji12][emoji12][emoji3][emoji3]Yah! Hiyo hiyo Mtani.
Hamkati tamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri Singida United. [emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaaaa. Ndio mpira huo lakini Mtani.Mmhh lakini mbona unaonekana mnyonge sana, nani kakuudhi ni KAGERE? huyu kagere mtu mbaya sana kwanini anamkosesha raha Mtani wangu, pole sana nitamchapa [emoji12][emoji12][emoji3][emoji3]
Mpira wa bongo ndio maana unanishindaga kuangalia. Yaani kiwanja kibovu utazani ndondo cup kumbe premier ligi.
😂😂😂 bila hivyo ungecheka saa ngapi Mkuu.Hamkati tamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]