Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kesho bana Mtani ngoja nikaandae futari.[emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho bana Mtani ngoja nikaandae futari.[emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448][emoji448]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaaaa. Mtani umefanya nimkumbuke huyu King Ngwaba.: Sembo uko wapi.. Shadeya anakutafuta huku.
Mpaka match iishe wengine watatoka na mafua.
[emoji124][emoji124]
Hivi kumbe Singida hakuna mvua
Aminia mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila hivyo ungecheka saa ngapi Mkuu.
Sevilla mkuu.. sheria haziruhusuHvi Tff si watupe kombe letu siku ya mechi na Valencia tu!?
Tutawasusia kombe Lao maana hata mwakani tuna uhakika wa kulichukua tena.
Simba BingwaKuelekea kumalizika msimu wa Ligi Kuu Tanzania TPL, Patashika hiyo kushika kasi kwa viwaja tofauti kupigwa ambapo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mbao FC wanamenyana na KMC, huku Uwanja wa Namfua mkoani Singida wanyeji Singida United wanapapatuana na Mabingwa watetezi Simba SC.
Mchezo wa Singida United dhidi ya Simba SC, unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika tisini
Msimu uliopita Simba SC walitangaza ubingwa rasmi kwenye uwanja huo huo wa Namfua Stadium, wakati walipopepeta na Singida United na wenyeji hao kukubali kipigo cha 1-0
Na leo tena Mei 21, 2019 Mabingwa hao wanahitaji ushindi muhimu ili kuweza kutangaza rasmi ubingwa msimu 2018/2019. Je historia itajirudia au Singida United wanaweza kumsimamisha Simba SC kwa muda?
Usikose ukaambiwa..Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 10:00 jioni na utakuwa mubashara kupitia Azam Sports 2.View attachment 1103721View attachment 1103722
Naaaaaaam mpira umeanza uwanja wa Namfua mkoani Singida TPL..
Singida United 0-0 Simba SC
02' Mchezo umeanza kwa kasi kwa Simba kuliandama lango la wenyeji na kupata kona mbili ambazo hazikuzaa matunda.
05' Singida United, wanajaribu kujibu mashambulizi ambapo shuti la Maganga limetoka nje sentimita chache lango la Simba.
09' Goooooooooooooooooooaaal gooooooooaaal.. Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la kwanza baada beki wa Singida United kushindwa kuondosha mpira wa hatari ulipigwa na Mohammed Hussein
Singida United 0- 1 Simba SC
14' Singida wanaokoa mpira wa hatari ambao ungeweza kuipatia Simba bao la pili.
Mchezo umechangamka kwa pande zote mbili, Singida wakijihakikishia kusalia TPL, huku Simba wakihitaji ushindi.
15' Singida United 0-1 Simba SC
Kinyombo anakwenda lango la Simba lakini mwamuzi anasema umejiangusha na mpira wanachukua Simba
20' mpira umetawaliwa na Simba, japo Singida ni wenyeji
Free kick kuelekea Simba.Inapigwaaaaa lakini Munishi anadaka bila wasiwasi.
24' mpira umesimama baada ya mwamuzi mpira kumpiga kichwani, madaktari wanaitwa kumpatia matibabu..
Haya mpira unaendelea, TPL uwanja wa Namfua baada ya mwamuzi kupata rabsha na kutibiwa
26' Okwi anapata nafasi safi anapiga lakini mpira unatoka nje na kuwa goal kick
30' Inapigwa free kick kuelekea Simba, sio mbali, inapigwaaa lakini mpira unakuwa hafifu na kudakwa na Munish
35' Singida wapiga pasi za hapa na pale kujaribu kulifikia lango la Simba, anatokea mchezaji wa Singida anapiga nje na kuwa goal kick
Bocco anaambaa na mpira, na anapiga kwake Kagere..Lakini mwamuzi anasema mpira ulitoka nje kabla ya kupiga
40' Singida United 0-1 Simba SC
Simba wanasogea langoni mwa Singida anachukua Okwi mpira anapiga lakini mpira unapaa na kutoka nje na kuwa goal kick
45+2' kuelekea kuwa mapumziko
Naaaaaaam Mpira ni mapumziko uwanja wa Namfua, ambapo Simba wanatoka mbele kwa bao moja bila goli la Maddie Kagere
Singida United 0-1 Simba SC
Sevilla mkuu.. sheria haziruhusu
Anha kumbeDodoma,Singida masika huanza december au january na kuisha march au april. Huu mwezi mvua zilisha isha muda tu.
Nb: nipo tayari kurekebishwa.