Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Nimemwona Refarii amepigwa mpira na mchezaji wa singida na madaktari wa simba waliwahi kumtibu nataka sana.
 
Hvi Tff si watupe kombe letu siku ya mechi na Valencia tu!?

Tutawasusia kombe Lao maana hata mwakani tuna uhakika wa kulichukua tena.
 
Simba Bingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…