Hahaaaaa. Mtani umefanya nimkumbuke huyu King Ngwaba.
Naye mwambie namtafuta. Simba lia lia huyu 😂😂😂😂
Goooooooooooooooooooaaal gooooooaal
huyu kipa wa singida...muamala au sheria za soka hazielewi!...haiwezekan kuwa boya vile
huyu goli kipa boya sana...kawaangusha wenzakeYule wa Yanga nae tulimtumia pesa taslimu
kuna rangi inayofanana na ccm naona watakuwa wanaondoka kwenye vibanda vya mipira mda huu61' Goooooooooooooooooooaaal gooooooaal John Bocco anaandika bao la pili kwa kichwa
hawachelewi kusema '*150*00#' imehusikaGolilikipa alikuwa nje ya uwanja