Asante sana mkuu.. tunamaliza kiporo kwa ushindi na ubingwa juu.90+8' Kuelekea kumalizika mchezo huu wa TPL
Naaaaaaaaaaaaaaam..Mpira umekwisha Uwanja wa Namfua ambapo Simba SC wanaibuka kuwa Mabingwa Wapya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu
Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Maddie Kagere 09' na John Bocco 61
Singida United 0- 2 Simba SC
Kwaniaba ya Simba SC na JF team niiiiiiiiiiiii Ghazwat
Kesho kutwa baada ya kuifunga SevillaSherehe za ubingwa ni lini?
Sisi hatujauliza yanga kachukua Mara ngapiToka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
[emoji38][emoji38][emoji38]*150*00# imetumwa kwa kipa
Kesho kutwa baada ya kuifunga Sevilla
Asante sana mkuu 3IIyEmma tulikuwa wote team JF kufanikisha hili la ubingwa kuleta UpdatesAsante sana mkuu.. tunamaliza kiporo kwa ushindi na ubingwa juu.
SIMBA IS THE CHAMPIONS OF TANZANIA PRIMIER LIEGE--2018/2019.
HahahahhSevilla watakuwa na mchecheto, maana kucheza na mabingwa si mchezo.
Wanatamani ratiba ibadilike wapewe Yanga.
TawireNaam nakupata kwa uzuri mwalimu kashaha kutoka pande za singida naitakia ushindi simba wa goal mbili bila
Hahahahh
Yanga watatia aibu kwa Sevilla
Ila kiuhalisia tutafungwa nyingi bhana tuache unafki 😆😆
hata vyeti vyake vitakuwa FAKEWap nabii mashimo
Wewe utakuwa mamluki, Sevilla amekuwa wa sita huko, anatufungaje mabingwa?
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] wouzeeer wouzeeeerrrAsante sana mkuu Shunie kwani tulikuwa wote katika kuleta Update kuhusu mechi za Simba
Hapana shaka tulifanya tulichokiamini nacho ni ubingwa kwa support yote kwa viongozi na wachezaji
This Is Simba.....Bingwa 2018/19
Hata mkichukua mara nne lakini sio la msimu huu ambalo limeenda MsimbaziToka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija