Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Furaha yangu Ubingwa ...huku naogopa Singida kushuka Daraja! Leo ilitakiwa kutangaza Ubingwa tukicheza na Mbao au Kagera Sugar au Enzi zile Toto la Yanga! Ole wenu wanasiasa Mlioivuruga SINGIDA UNITED kwa Maslahi yenu yaliyokatwa Mikia Pumb.....u😕😕😕😕!
 
Mamluki maana yake nini Don Clericuzio?

Hahahahh hata united wa sita ila wakikutana na simba yetu wanajipigia tu

Mamluki ni mfuasi ambaye kimwili yuko huku ila moyo uko kwingine.

Yaani unakuwa unaipenda Yanga ila unajifanya ni mshabiki wa Simba.

Hao Man Utd MK14 anapata goli mbili asubuhi sana, sioni beki wa kumkaba.
 
Back
Top Bottom