3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Unganisheni makombe yenu na Sevilla tukutane Taifa.Toka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unganisheni makombe yenu na Sevilla tukutane Taifa.Toka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
Mamluki maana yake nini Don Clericuzio?
Hahahahh hata united wa sita ila wakikutana na simba yetu wanajipigia tu
Hahaaaaa. Mtani umefanya nimkumbuke huyu King Ngwaba.
Naye mwambie namtafuta. Simba lia lia huyu 😂😂😂😂
Mamluki ni mfuasi ambaye kimwili yuko huku ila moyo uko kwingine.
Yaani unakuwa unaipenda Yanga ila unajifanya ni mshabiki wa Simba.
Hao Man Utd MK14 anapata goli mbili asubuhi sana, sioni beki wa kumkaba.
Kila la kheri Singida United. 😎😎😎
Naam nakupata kwa uzuri mwalimu kashaha kutoka pande za singida naitakia ushindi simba wa goal mbili bila
Dodoma,Singida masika huanza december au january na kuisha march au april. Huu mwezi mvua zilisha isha muda tu.
Nb: nipo tayari kurekebishwa.
Mimi kuipenda yanga ni tusi
Huo mstari wa chini nimeumia
Jirani hatimaye!![emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] wouzeeer wouzeeeerrr
🤓🤓🤓Vyura [emoji196] [emoji196][emoji196] wanatamani Malinzi arudi tena TFF
Jirani acha tu majukumu vipi lakini uko mzimaJirani hatimaye!!
Na mbona uliadimika hivi!?