3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Asante sana mkuu.. tunamaliza kiporo kwa ushindi na ubingwa juu.90+8' Kuelekea kumalizika mchezo huu wa TPL
Naaaaaaaaaaaaaaam..Mpira umekwisha Uwanja wa Namfua ambapo Simba SC wanaibuka kuwa Mabingwa Wapya baada ya kuibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu
Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Maddie Kagere 09' na John Bocco 61
Singida United 0- 2 Simba SC
Kwaniaba ya Simba SC na JF team niiiiiiiiiiiii Ghazwat
SIMBA IS THE CHAMPIONS OF TANZANIA PRIMIER LIEGE--2018/2019.