Mimi niko poa tu vp familia ki ujumla!?Jirani acha tu majukumu vipi lakini uko mzima
Haya asante kwa kuniumiza 🙏Kuhusu Yanga nisamehe aisee, nafuta kauli.
Ila huo mstari wa chini endelea kuumia.
Haya asante kwa kuniumiza 🙏
Watu wameongoza ligi mwezi 9 anaibuka mwanaume mmoja anaongoza ligi mwezi 1 anabeba na ndoo
HahahahahahahahahhahahahahahahahahNi sawa na unaishi na mke matokeo bila bila, siku akichepuka tu mimba!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kagere sasa hizi ni sifa za kijinga. Watu hata hatujawasha Tv tayari ushatupia goli! Unaboa sana Kagere! Sasa hivi tukienda msalani kabla hatuja anza kukata gogo tutasikia Okwi ametupia!
Simba inaleta raha mpaka inageuka kuwa kero sasa.
Mmmmh..! Pole sana Utakua umeumia sana Mnyama kuwa Bingwa.Jikaze tu hamna namna.Nitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.
Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.
Daima mbele nyuma mwiko
Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Paragraph ya pili umeurudia unafiki ambao umeukataa mwanzoNitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.
Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.
Daima mbele nyuma mwiko
Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Haya mtani..Umejihidi kuleta wazo lako kwenye TPLNitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.
Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.
Daima mbele nyuma mwiko
Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Alisikika mnywa pombe mmojaNitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.
Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.
Daima mbele nyuma mwiko
Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Wakileta kidomodomo tunaongeza zinakuwa 15Hizi back to back za ubingwa ndio kwanza tumeanza tunataka tupige kama 10 hivi mfululizo