Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Nitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.

Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.

Daima mbele nyuma mwiko

Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
 
Kagere sasa hizi ni sifa za kijinga. Watu hata hatujawasha Tv tayari ushatupia goli! Unaboa sana Kagere! Sasa hivi tukienda msalani kabla hatuja anza kukata gogo tutasikia Okwi ametupia!

Simba inaleta raha mpaka inageuka kuwa kero sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.

Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.

Daima mbele nyuma mwiko

Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Mmmmh..! Pole sana Utakua umeumia sana Mnyama kuwa Bingwa.Jikaze tu hamna namna.
 
Paragraph ya pili umeurudia unafiki ambao umeukataa mwanzo
 
Haya mtani..Umejihidi kuleta wazo lako kwenye TPL

Nakupongeza huo ndo utani, sio yule kiumbe mmoja hapa Jf yeye bado ana mambo kizamani kuona matusi ni ujanja badala kujenga hoja

This Is Simba 2018/19...!
 
Nitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.
Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.
Daima mbele nyuma mwiko
Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.
Alisikika mnywa pombe mmoja
 
Back
Top Bottom