Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Toka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
Nenda kashiriki jukwaa la matusi huko, hapa kuna watu wenye uelewa ambao ni watani wa Jadi wenye kujua mpira si uadui ni burudani.!

Nimekudharau sana we kiumbe na nimekuweka akiba.

JF inashushiwa hadhi kwa viumbe washamba kama nyie..Mods halafu eti wamekuachia tu..!
 
Wachezaji wa kibongo ndo mana hawafiki mbali vilaza Mon [emoji16] [emoji23]
Alafu jamaa alikaza kuonesha ameumia sana ( anyways ukute kweli aliumia) lakini kwa haraka haraka jamaa alizuga baada ya kuona ameharibu.

Kiukweli refa hakukosea ndio mana hata wachezaji na mashabiki hawakugadhibika na maamuzi ya refa.
 

Sikuwahi kuwaza kuwa nawewe unavuta Bange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…