Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Tanzania Premier League 'TPL' Singida United Vs Simba SC Uwanja wa Namfua Singida

Toka TPL ianze Yanga kachukua mara tatu mfululizo. . Tunachoteaga maji ya mvua mafuriko yakija
Nenda kashiriki jukwaa la matusi huko, hapa kuna watu wenye uelewa ambao ni watani wa Jadi wenye kujua mpira si uadui ni burudani.!

Nimekudharau sana we kiumbe na nimekuweka akiba.

JF inashushiwa hadhi kwa viumbe washamba kama nyie..Mods halafu eti wamekuachia tu..!
 
Wachezaji wa kibongo ndo mana hawafiki mbali vilaza Mon [emoji16] [emoji23]
Alafu jamaa alikaza kuonesha ameumia sana ( anyways ukute kweli aliumia) lakini kwa haraka haraka jamaa alizuga baada ya kuona ameharibu.

Kiukweli refa hakukosea ndio mana hata wachezaji na mashabiki hawakugadhibika na maamuzi ya refa.
 
Nitakua mnafiki kama nisipowapongeza watani kwa kutwaa ubingwa haijalishi mmeupata vipi lakini kikubwa mmebeba ndoo...
Bila shaka yanga wenzangu tutakua tumejifunza kitu kwa mpira sio uwanjani tu,au kocha mzuri au wachezaji wazuri. Yanga tumejifunza kuwa mpira wa tanzania unachezwa nje ya kiwanja kwa asilimia zaidi ya 70.
Yanga wenzangu,viongozi na wanachama wenzangu naomba sasa na sisi tuache kujifanya malaika na kwenda nao kibishi kama walivyo anza wao sisi tutamaliza,
Ni mda wakuwekeza kwa marefa zaidi kuliko hata wachezaji,ni mda sasa wakuhakikisha tunakua na walau matawi shiriki ligi kuu hata 8,ikumbukwe tulikua nalo moja tu toto Africa sasa halipo tena,
Tuhakikishe tunawahimiza wana yanga wengi wakasomee urefa ili tuweze kuona matunda yao mbeleni kama simba walivyofaidi matunda yao msimu huu.

Yanga tubadilike sasa pale kwenye pitch hapatotupa ubingwa wakuteuluwa kama wenzetu,tujipange upya ili tuende nao sawa.


Daima mbele nyuma mwiko

Hongereni mabingwa wa kuteuliwa,mbona mtu unaagiza gari kwa pesa yako mwenyewe na gari ikifika unashangilia nakufanya hata party, mna haki ya kushangilia pamoja na kutumia pesa nyingi sana kulipata.

Sikuwahi kuwaza kuwa nawewe unavuta Bange
 
Back
Top Bottom