Tanzania Prisons 1-2 Yanga Sc | Uwanja Wa Mandela | Ligi Kuu Tanzania Bara

Yanga hatuwezi kamwe kufungwa na team ya wahuni waliokosa kazi na kujikusanya hapo tukuyu..
Cha kuwasaidia wao kwa sasa sio maafande tena bora wakalime mpunga na wauze mchele tu.
Yanga ni lidude flani likuuubwa..

NB: naona kwamba aucho ile tuzo ya messi ilibidi wampatie yeye, au wangempa yule tolu kanoute?
 
haya majamaa majinga kweli ,wamesafiri 22 ,wagonjwa 16 ,na walioachwa dar karibia wote ni majeruhi ,wangechezaje?
We acha tu, hawa jamaa sijui wanatumiaga kiungo gani kufikiria.
 
Ni mchezaji yupi wa yanga aliyeumwa, inamaana hujui kuwa Ilikua ni mind game ya kitoto iliyochezwa na benchi la ufundi la utopolo fc.
"Msema kweri ni mpenzi wa Mungu wachezaji 10 wa yanga wana mafua makali na wamewakimbiza kweri-kweri"
 
Simba achana kabisa kuwanunulia bia wanawake wa Yanga .Wananukisi na watawawapa nukusi sana
 
Mpaka dk hii ingekua prisons bado anaongoza basi tungeshuhudia penalty na red card ambayo ingekosa majibu kama ilivyokua kwa Namungo ila thanks to God mazuzu yapo mbele kwa tofauti ya bao moja ndo maana mpaka dk hii boli bado lina flow smoothly.
Basi sawa.
 
Ni mchezaji yupi wa yanga aliyeumwa, inamaana hujui kuwa Ilikua ni mind game ya kitoto iliyochezwa na benchi la ufundi la utopolo fc.
Nimekuuliza timu yako, mimi yangu nime iingiza uwanjani na nimeshinda.

Nimekuuliza kimya.
Kwa hiyo wachezaji waliugua tu walivyo fika Kagera?

Kwa hiyo mtaa kaa siku 14 bila kucheza mechi yoyote?

Halafu nina debe mbili za mpunga na jogoo mmoja, je mchango wangu na ufikisha vipi?
 
Si tulikubaliana tuna kikosi kipana?
kwenye wachezaji 22 kama 6 wanaumwa Sheria gani ya fifa inaruhusu mechi kuendelea?hivi watu wa kukimbia mechi watoke dar na ndege na gharama zote ? Ingekuwa ni kusingizia si wangebaki dar tu?
 
kwenye wachezaji 22 kama 6 wanaumwa Sheria gani ya fifa inaruhusu mechi kuendelea?hivi watu wa kukimbia mechi watoke dar na ndege na gharama zote ? Ingekuwa ni kusingizia si wangebaki dar tu?
Hao wachezaji 6 haiwezekani kuwa replace si mnao wengi 6 kati ya 22?

Sasa kama ndio hivyo kwanini msingebaki dar haingii akili muende mpaka bukoba halafu msijue kama Kuna wagonjwa..
Team yenu ya madokta ni mbovu?

Au mmekimbia kwa kuwa Mmezoea viporo.

Pole kwa kuharisha.
 
Wachezaji walifika wachache wakionesha dalili, ikafanyika press na wakakubaliana kuwa mechi itachezwa kwani waliobaki wanajitosheleza siku iliyofuata mazoezini wakaongezeka, kati ya 22,16 wakapata ugonjwa na kisheria chini ya wachezaji 7 mechi haichezwi.

Kama kuna mashabiki wa mpira wenye maisha magumu basi ni yanga, hivyo huo mchango wako ni vyema ukapika ule na mkeo na watoto wako, wema usizidi uwezo.
 
mkuu ugonjwa hauna alarm ,hata wewe tunaweza kukuona humu JF ujibu sahizi lakini masaa kadhaa ukaumwa ,wachezaji 16 wanaumwa ,je unapoingiza wagonjwa uwanjani hata wale nafuu una uhakika wengine watamaliza mechi ? Kwenye 22 ukitoa 16 wanaoumwa wanabaki wachezaji 6 ,na Dar waliobaki ni majeruhi ,Sasa mchezo ungeendeleaje ? Ndo maana FIFA wanasema health first.
 
Harisha uhalo Fc [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…