Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Na hata yanga pia walikuwa wanaumwa lakini wamecheza,mkuu ugonjwa hauna alarm ,hata wewe tunaweza kukuona humu JF ujibu sahizi lakini masaa kadhaa ukaumwa ,wachezaji 16 wanaumwa ,je unapoingiza wagonjwa uwanjani hata wale nafuu una uhakika wengine watamaliza mechi ? Kwenye 22 ukitoa 16 wanaoumwa wanabaki wachezaji 6 ,na Dar waliobaki ni majeruhi ,Sasa mchezo ungeendeleaje ? Ndo maana FIFA wanasema health first.
Kwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.Wachezaji walifika wachache wakionesha dalili, ikafanyika press na wakakubaliana kuwa mechi itachezwa kwani waliobaki wanajitosheleza siku iliyofuata mazoezini wakaongezeka, kati ya 22,16 wakapata ugonjwa na kisheria chini ya wachezaji 7 mechi haichezwi.
Kama kuna mashabiki wa mpira wenye maisha magumu basi ni yanga, hivyo huo mchangi wako ni vyema ukapika ule na mkeo na watoto wako, wema usizidi uwezo.
Mpaka sasa michango iliyopatikana nchi nzima ni 5200/Tsh..Kwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.
Kwa hiyo mtakaa siku 14 bila kucheza?
Nyie juzi mlisema mnataka michango, mimi nina debe mbili za mounga kutoka Mbeya na Jogoo, acha hasira ni elekeze ili ni ufikishe mzigo wangu wa kuichangia timu yenye kikosi kipana.
uza hivo vitu halafu utume kwenye tigo au mpesa ya SimbaKwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.
Kwa hiyo mtakaa siku 14 bila kucheza?
Nyie juzi mlisema mnataka michango, mimi nina debe mbili za mounga kutoka Mbeya na Jogoo, acha hasira ni elekeze ili ni ufikishe mzigo wangu wa kuichangia timu yenye kikosi kipana.
Michango inendelea, afu uwanja ni wa Mo.Kwetu raha tuna jiamini na ndio maana tumecheza leo.
Kwa hiyo mtakaa siku 14 bila kucheza?
Nyie juzi mlisema mnataka michango, mimi nina debe mbili za mounga kutoka Mbeya na Jogoo, acha hasira ni elekeze ili ni ufikishe mzigo wangu wa kuichangia timu yenye kikosi kipana.
Siku hizi umekua dokta?Mkuu mgonjwa unamjua kweli ? Na kwa muonekano ule kuna mgonjwa kweli pale ??.
Sina account ya tigo pesa wala m-pesa,ila nina debe mbili za mpunga na jogoo langu,ili ni ichangie timu yenye kikosi kipana.uza hivo vitu halafu utume kwenye tigo au mpesa ya Simba
Kwani wachezaji wen u wote wanaumwa?Kwa hiyo leo watacheza kumi na Kuna watu wanashangilia wanavyodanganywa ili Mnyama aonekane tu anadeka dah!! Kweli mazuzu hayatakaa yaishe viva Luc
ikabidi kwa viongozi wa tawi mchango wako utafikishwa makao makuuSina account ya tigo pesa wala m-pesa,ila nina debe mbili za mpunga na jogoo langu,ili ni ichangie timu yenye kikosi kipana.
Hata ulaya IPO hiiYanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
Sio dhidi ya timu dhaifu kama prisons.
Mbona ninyi mmekimbia mechi,au unajisahaulisha, mlipocheza nao Mara ya mwisho nini kilitokea?Sio dhidi ya timu dhaifu kama prisons.
Waoga ni wale walioikimbia mechi yao jana. YANGA wamesema wanaumwa. Lakini bado wamesema wanacheza. Huo ndio uanaume. Sio majike ya jana. Watu wametoka zao Uganda kuja kushuhudia kipute. Wameingia kabisa uwanjani,majike yameweka mpira kwapani. Mmetia aibuYanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
Mkuu gharama za kusafirisha timu kutoka dar mpaka kagera kwa ndege, malazi nk unazijua ??.Mbona ninyi mmekimbia mechi,au unajisahaulisha, mlipocheza nao Mara ya mwisho nini kilitokea?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Naomba kujua elimu yako kama hutojali.Waoga ni wale walioikimbia mechi yao jana. YANGA wamesema wanaumwa. Lakini bado wamesema wanacheza. Huo ndio uanaume. Sio majike ya jana. Watu wametoka zao Uganda kuja kushuhudia kipute. Wameingia kabisa uwanjani,majike yameweka mpira kwapani. Mmetia aibu
Maana ya kikosi kipana nini basi?Mkuu gharama za kusafirisha timu kutoka dar mpaka kagera kwa ndege, malazi nk unazijua ??.
Mkuu usiangaike kutaka kujua elimu yake huyo, utopolo wengi huwa ni la 7b[emoji38][emoji38][emoji38]Naomba kujua elimu yako kama hutojali.
Mademu jana wamecheza 8 huko Burundi nyie majitu na ndevu zenu mnajiliza lizahaya majamaa majinga kweli ,wamesafiri 22 ,wagonjwa 16 ,na walioachwa dar karibia wote ni majeruhi ,wangechezaje?
Wachezaji walibaki 6,na kisheria za fifa hakuna mechi kuchezwa chini ya wachezaji 7.Mademu jana wamecheza 8 huko Burundi nyie majitu na ndevu zenu mnajiliza liza