Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Na hata yanga pia walikuwa wanaumwa lakini wamecheza,mkuu ugonjwa hauna alarm ,hata wewe tunaweza kukuona humu JF ujibu sahizi lakini masaa kadhaa ukaumwa ,wachezaji 16 wanaumwa ,je unapoingiza wagonjwa uwanjani hata wale nafuu una uhakika wengine watamaliza mechi ? Kwenye 22 ukitoa 16 wanaoumwa wanabaki wachezaji 6 ,na Dar waliobaki ni majeruhi ,Sasa mchezo ungeendeleaje ? Ndo maana FIFA wanasema health first.
Naona tuishie hapa tusubiri wapone sijui itakuwa lini, mcheze kiporo chenu.