ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Lazima waugue ni ngumu ucheze na Yanga imeshiba utoe drawHao wachezaji 6 haiwezekani kuwa replace si mnao wengi 6 kati ya 22?
Sasa kama ndio hivyo kwanini msingebaki dar haingii akili muende mpaka bukoba halafu msijue kama Kuna wagonjwa..
Team yenu ya madokta ni mbovu?
Au mmekimbia kwa kuwa Mmezoea viporo.
Pole kwa kuharisha.
MwagonaLeo mimi pamoja na kuwa ni Yanga lialia ila sina budi kushangilia timu yangu ya nyumbani kwangu
Mwanjelwa.
Linapofika swala la nyumbani sisi Wasafwa ni lazima tuliongezee nguvu ya ushindi.
mnapenda kubishana hadi kwenye afya za watu ,Nye mmecheza mkiwa na afya hongereniMademu jana wamecheza 8 huko Burundi nyie majitu na ndevu zenu mnajiliza liza
Ni kweli au editing hiyo? Client si ilipaswa wawe Simba sports clubMichango inendelea, afu uwanja ni wa Mo.View attachment 2050078
Mhindi hana rafiki [emoji23][emoji23]Ni kweli au editing hiyo? Client si ilipaswa wawe Simba sports club
Leo hii unasema Prisons timu dhaifu, umesahau shuguli yake unayokutana nayo? Msimu uliopita umechomoa jioniii tena wakiwa wako pungufu. Na mlisherekea sana ile kuchomoa goli hamkuaminiSio dhidi ya timu dhaifu kama prisons.
Inawezekana mechi imehairishwa sababu ya wachezaji wa Simba kuwa wagonjwa, ila sidhani kama ni kweli wamefika wachezaji zaidi ya 10 kuumwa. Inawezekana tu uongozi wa Simba imeweka kizingizio cha idadi kubwa ya wagonjwa ili mechi ihairishwe kutokana na wachezaji kadhaa tu ambao ni wa muhimu kuwa ni wagonjwa.Wachezaji walibaki 6,na kisheria za fifa hakuna mechi kuchezwa chini ya wachezaji 7.
Tukubaliane na hili jibu ili ukose cha kuchangia tenaAu mmekimbia kwa kuwa Mmezoea viporo.
Prisons imetoka kuchapwa 3-0 na Biashara FC hapo hapo Nelson MandelaLeo hii unasema Prisons timu dhaifu, umesahau shuguli yake unayokutana nayo? Msimu uliopita umechomoa jioniii tena wakiwa wako pungufu. Na mlisherekea sana ile kuchomoa goli hamkuamini
Sio ajabu hilo kwa timu ndogo kukamia timu kubwa lakini kwa wadogo wenzie anapigwa kilaini tu. Au mkuu hilo hulijui?Prisons imetoka kuchapwa 3-0 na Biashara FC hapo hapo Nelson Mandela
Vp uko salama kabisa huko ulipo?Nawatakia yanga wafungwe hata kumi
Endelea kuteseka........Jana Mkude, Ajibu wapo wanakula bata, mikia mnaacha mechi game kwa umbumbu tuYanga wameamua kucheza mind game na kuwadanganya prisons kuwa key players wao wagonjwa kumbe wote wazima, hii inaonyesha ni namna gani yanga ni underdog na waoga wakubwa.
Haya na wewe pia unaharisha kama wachezaji wenu?Tukubaliane na hili jibu ili ukose cha kuchangia tena