Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Tanzania: Quotes & Our National Politics!

Jamaa wamepotoka kwa kudhani wanajenga.

Wanaopotoka hapa ni wale wanopinga ukweli bila sababu za msingi wala za kuonyesha utofauti wao na wengine, kuna waa-Afrika na hsa wa-Tanzania wenzetu wengi sana ambao wametuonyesha kwa vitendo kuwa wako tofauti, watu kama kina Kambona, Memba, na Chipaka.

Utofauti wa mtu katika jamii au na jamii ile huonyeshwa ka vitendo na sio maneno mengi ya shule ambayo hayana kitu ndani yake. kukubali ukweli sio kupotoka ila ni one step kwenye process ya kutafuta njia nzito za kuweza kubadilika kwa the better, badala ya kufa na njaa huku una tai shingoni.

Sitaki misaada ya the West, lakini nitachukua misaada toka Urusi na China, sound familiar?
 
Waafrika ndivyo tulivyo "is a very abstract term", ndivyo tulivyo tukoje sasa?. kwanza lazima tujiulize huyu mwafrika "ndivyo alivyo ni nani hasa?. mimi ni Mwafrika kutoka Tanzania kwa sababu Tanzania iko Afrika,kwa mujibu wa NyaniMcain "mimi ndivyo nilivyo", je kesho na keshokutwa nikiomba uraia wa Marekani nikawa mmarekani nitaacha kuwa nilivyo kwa sababu sasa nitakuwa african-american?. kwa hiyo pointi anayoraise Pundit hatuna budi kuiona, huu msemo wa NyaniMcain ni generelization ya hali ya juu.

Lakini pia ukiuchunguza huu msemo wa Nyani, utagundua kuwa una Ubaguzi wa rangi ndani yake,una maana iliyojificha yenye lengo la kumproject mtu mweusi kama mtu duni kulinganisha na watu wenye rangi zingine, nampa challenge NyaniMcain aje akanushe kwamba anapozungumzia "Waafrika ndivyo tulivyo" hamaanishi "weusi ndivyo tulivyo".

Afrika kuna waarabu mfano katika nchi za tunisia, algeria, morocco, egypt, libya, sudan, Afrika kusini kuna wazungu mfano makaburu wa afrika ya kusini, Afrika kuna weusi mfano Tanzania, nigeria, cameroon n.k.- kama Nyani hamaanishi kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo" kuwa "Weusi ndivyo tulivyo" basi bila shaka anamaanisha Kaburu wa Afrika ya kusini na mmakonde wa pale lindi wote ndivyo walivyo (kwa sababu wote ni waafrika). kama NyaniMcain hamaanishi kuwa Waafrika ndivyo tulivyo kuwa ni weusi ndivyo tulivyo basi bila shaka anamaanisha kwamba mmasai wa pale Loliondo na Mwarabu wa pale kwenye viunga vya jangwa la sahara pale egypt wote ndivyo walivyo kwa sababu ni waafrika.

Lakini kwa mtizamo wa NyaniMcain inaonekana dhahiri ni kwa namna gani yupo OUT OF TOUCH , yuko out of touch kama IDOL wake JOHN MCAIN ambaye naye ameshaprove kuwa yuko out touch kwa kushindwa kutofautisha Sunni na Shia, na in this Case kwa NyaniMcain kushindwa kufahamu Mwafrika ni nani!, hii inaondoa legitimacy ya kutoa statement mfano wa hii ya "Waafrika ndivyo tulivyo". kama Nyani kweli anafahamu Mwafrika ni nani basi nampa Challenge aje anikanushe niliyaandika hapa na atueleze kwamba Mwafrika ni nani?
 
- Fedha si msingi wa maendeleo - Nyerere
-ili tuendelee tunahitaji vitu vinne, watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora - Nyerere

Hatuna maendeleo kwa sababu:-

-watanzania ni watu wenye wivu wa kijinga na wavivu wa kufikiri..Mkapa
 
'Wasio kuwa nacho wanawaonea wivu wenye nacho,na wenye nacho wanajivunaa!' Ali Hassan Mwinyi,akiongea na wazee wa DSM kutuliza munkari wa maskini(wasiokuwa nacho),baada ya ile vurugu ya magabacholi iliyoanzishwa na Mtikila
 
Miafrika Ndivyo Tulivyo.....anayebisha na abishe na kubisha kwa maneno hakubadilishi ukweli. Read and weep!!!
 
Pundit,
Lakini unapiga kura ktk mfumo ambao ni wa Kifisadi!...
Mkuu nifahamu hapa, Mafisadi wote mimi nawaita Wanyapala.. kwa hiyo unamchagua/humchagui nyapala ambaye unajua kabisa kwamba bado wewe utabakia ktk mtumwa... tofauti ya mtazamo wako ktk kumchagua Nyapala haiwezi kukuletea mabadiliko ya Utumwa..
Now, wewe kama mtumwa umefanya nini kuondokana na Utumwa kwani waafrika ndivyo tulivyo inabeba mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuwepo ktk kundi la mbuzi ama kondoo.
Wapo wanyapala, watumwa na wengine waliendesha maisha yao hivyo hivyo chini ya kutawaliwa...
The all picture ni kwamba huna Uhuru kamili hata kama hukuchagua fisadi... umefanya nini kuondokana na hali hiyo!

I just love JF!

Back to the "Ndivyo tulivyo" Huu msemo, ni dhahiri ni wa kebehi sana. Lakini why cant we prove otherwise? Kuna aliyesema eti yeye ni tofauti na bunch of irresponsible people! Ok, granted. Tofauti yako ni ipi? kujua kizungu/kiiengereza na kukiandika vizuri au nini, Kuishi ulaya au America? kusoma mpaka PhD Oxford au kipi haswa?? NOTE: Iam not saying kwamba wewe siyo tofauti, lakini nauliza hiyo tofauti ni ipi? Ambayo inaweza kumkomboa mwafrika mwenzio?

Jiulize waafrika wote universally tuna attribute ya umaskini! Nenda angalia waafrika wanaoishi nje na bara letu ndo maskini wa kutupwa huko waliko..iwe brazil, Ulaya, USA kwenyewe na ofcourse HAITI! Waafrica wako associated na umskini..we can spin it the way we want..ila ndiyo ukweli huo! Ukisema wazungu ndivyo walivyo..unafikiri kuna atakayenuna au kulalamika? Hapana kwa sababu ndio ukweli wao attribute yao kubwa ni mafanikio, hata kama wako wachache ambao ni homeless! Lakaini mafanikio yanaonekana. Ndo maana wengi wetu walipotaka kwenda kusoma nje, HAKUNA ALIYEOMBA VISA YA KWENDA HAITI! kILA MTU ALITAKA AENDE KWENYE NEEMA.

Friends tuache longo longo hapa. Waafrica ndivyo tulivyo kwa sababu WE JUST DONT GET IT. What is insanity? Einstein alisema; It is doing the same thing again and again expecting different results. Iwe ni demokrasia mbovu ya kukataa matokeo ya chaguzi tulizoziitisha wenyewe..ni Africa..na kwingineko waliko weusi..

Tumekuwa na viongozi ambao wametupeleka kwenye lindi la umaskini lakini tunawachagua hao hao. Tulililia uhuru kwamba tunanyonywa..lakini leo sisi ndo tunawakabidhi mali mchana kweupe... Tulisema kwamba wakoloni walikuwa wananyanyasa wananchi wetu, leo hii sisi ndo tunawanyanyasa hao raia vibaya mno..na wao wanachekelea tuu... Tulisema akina Mangungo walituuza kwa akina Karl Peters kwa vile hawakusoma, lakini leo wanaotuuza wanashahada za harvard na vyuo vingine mahiri duniani. Haya watu wanaiba billions ambazo zingesaidia wote, lakini hapa hapa tunakuja kuwatetea simply because aliyeiba ni mjomba au baba na wewe ulipatapo, leo Africa viongozi wanakuja kutuomba kura na sisi tunawapa na baada ya hapo tunaanza kulalamika, Tunasema kwamba turudishe wasomi tojka ulaya ndo waje kutusaidia kwa vile wana "exposure" hao hao ndo wanatutenda... .The list is endeless.

Ok, ingekuwa ni isolated cases nadhani Nyani angekuwa na lake jambo kutu-generalize. Lakini je, nenda Zimbabwe, Sierra Leone, Liberia, Kenya, Congo, Guine etc..we ALL face similar problems!

Perhaps huo msemo unauma sana, labda unaweza kutufanya tukabadilika.

Inauma sana kukubaliana na huo msemo, alkini jee, alternative yetu ni ipi? au ni kuendelea kuilaumu historia tuu.

Subiri na madudu ya JK yooote na umasikini unaotishia uhai wa watanzania..come 2010. Tutamchagua huyu huyu kwa landslide.

Mwenye kubisha na abishe but Iam with Mkandara on the same wevelength!
 
If you can't join them, beat em'

Huu msemo kaka umeweka vice versa makusudi au? mi niiweke hivi If u can't beat em' join em' kwa maana rais Kikwete ameshindwa kupambana na mafisadi akaamua kujiunga nao, au alikuwa nao tangu mwanzo?

In that case, waweza pia kusema "ukiwashindwa mafisadi, jiunge nao" - and that is despicable, first by allowing the thought "if you can't beat mafisadi...". Kwenye hiyo quote, what is said last is supposed to fix the mess, right?!

Some thoughts should not be given space in our brains. "If you can't beat them" should not be one of the options. Putting aside the harm said to be done by them, 'Al-Qaeda' is a good example.

.
 
I just love JF!

Back to the "Ndivyo tulivyo" Huu msemo, ni dhahiri ni wa kebehi sana. Lakini why cant we prove otherwise? Kuna aliyesema eti yeye ni tofauti na bunch of irresponsible people! Ok, granted. Tofauti yako ni ipi? kujua kizungu/kiiengereza na kukiandika vizuri au nini, Kuishi ulaya au America? kusoma mpaka PhD Oxford au kipi haswa?? NOTE: Iam not saying kwamba wewe siyo tofauti, lakini nauliza hiyo tofauti ni ipi? Ambayo inaweza kumkomboa mwafrika mwenzio?

Jiulize waafrika wote universally tuna attribute ya umaskini! Nenda angalia waafrika wanaoishi nje na bara letu ndo maskini wa kutupwa huko waliko..iwe brazil, Ulaya, USA kwenyewe na ofcourse HAITI! Waafrica wako associated na umskini..we can spin it the way we want..ila ndiyo ukweli huo! Ukisema wazungu ndivyo walivyo..unafikiri kuna atakayenuna au kulalamika? Hapana kwa sababu ndio ukweli wao attribute yao kubwa ni mafanikio, hata kama wako wachache ambao ni homeless! Lakaini mafanikio yanaonekana. Ndo maana wengi wetu walipotaka kwenda kusoma nje, HAKUNA ALIYEOMBA VISA YA KWENDA HAITI! kILA MTU ALITAKA AENDE KWENYE NEEMA.

Friends tuache longo longo hapa. Waafrica ndivyo tulivyo kwa sababu WE JUST DONT GET IT. What is insanity? Einstein alisema; It is doing the same thing again and again expecting different results. Iwe ni demokrasia mbovu ya kukataa matokeo ya chaguzi tulizoziitisha wenyewe..ni Africa..na kwingineko waliko weusi..

Tumekuwa na viongozi ambao wametupeleka kwenye lindi la umaskini lakini tunawachagua hao hao. Tulililia uhuru kwamba tunanyonywa..lakini leo sisi ndo tunawakabidhi mali mchana kweupe... Tulisema kwamba wakoloni walikuwa wananyanyasa wananchi wetu, leo hii sisi ndo tunawanyanyasa hao raia vibaya mno..na wao wanachekelea tuu... Tulisema akina Mangungo walituuza kwa akina Karl Peters kwa vile hawakusoma, lakini leo wanaotuuza wanashahada za harvard na vyuo vingine mahiri duniani. Haya watu wanaiba billions ambazo zingesaidia wote, lakini hapa hapa tunakuja kuwatetea simply because aliyeiba ni mjomba au baba na wewe ulipatapo, leo Africa viongozi wanakuja kutuomba kura na sisi tunawapa na baada ya hapo tunaanza kulalamika, Tunasema kwamba turudishe wasomi tojka ulaya ndo waje kutusaidia kwa vile wana "exposure" hao hao ndo wanatutenda... .The list is endeless.

Ok, ingekuwa ni isolated cases nadhani Nyani angekuwa na lake jambo kutu-generalize. Lakini je, nenda Zimbabwe, Sierra Leone, Liberia, Kenya, Congo, Guine etc..we ALL face similar problems!

Perhaps huo msemo unauma sana, labda unaweza kutufanya tukabadilika.

Inauma sana kukubaliana na huo msemo, alkini jee, alternative yetu ni ipi? au ni kuendelea kuilaumu historia tuu.

Subiri na madudu ya JK yooote na umasikini unaotishia uhai wa watanzania..come 2010. Tutamchagua huyu huyu kwa landslide.

Mwenye kubisha na abishe but Iam with Mkandara on the same wevelength!

Hahahahaha....wape wape vidonge vyao hao na hata wakatae vipi ukweli unabaki palepale....

Wengine wanajifanya kuwakandia wazungu halafu wakati huo huo wanaona ujiko kuongea au kuandika kiingereza kizuri (supposedly) halafu wakiona Waafrika wenzao wanaongea Kiingereza kisicho fasaha wanawashikia bango...oooh....eti ni muhimu kujua Kiingereza fasaha ili uweze kukata ishu na kina Gordon Brown, McCain, na donors wengine. Wakati huo huo mzungu (Papa kwa mfano) akiongea kiingereza kibovu ni sawa tu eti kwa vile yuko ktk nafasi ya ushawishi mkubwa. Ukweli unauma na mara nyingi ili kukabiliana nao inabidi mtu aukane na ajiaminishe kuwa ukanaji wake ndio ukweli.....hahahahahahaaaaaa......
 
"Ikiwa tutaruhusu wasichana waliojifungua kurudi mashuleni matiti yao yatakuwa yakichirizika maziwa darasani" --- J.M.Kikwete

..sijui kama nimeipatia 100%. but he said something close to that.

Huo ni udhalilishaji kwa wake zetu na wasichana wote. ina maana mwanamke aliyezaa anachuruzika maziwa? labda wake zake lakini kwa sayansi hii na technolodia ambayo ukikaa vibaya mwanamke mwenmye mtoto wa miezi miwili ukikutana naye njiani huwezi hata kumtambua, kwa jinsi alivyo mrembo.

ila sishangai sana kwani hizo ndo stori zake rais wetu, anazipatia zaidi kuliko masuala mengine yoyote.
 
Kikwete akiwa Babati alisema wale wasichana wenye sifa za kwenda ualimu wanifuate Ikulu.

.
 
Masanja,
Friends tuache longo longo hapa. Waafrica ndivyo tulivyo kwa sababu WE JUST DONT GET IT. What is insanity? Einstein alisema; It is doing the same thing again and again expecting different results
Mkuu ume nail penye uchungu hasaaaa!

Mpita Njia,
Utakumbuka vizuri kuwa mara nyingi tumekuwa tukisema ukifahamu udhaifu wako na kukubali makosa ni one step ahead ktk kutafuta tiba ya maradhi tuliyokuwa nayo. Mimi nakubali kabisa kuwa NDIVYO TULIVYO kwa sababu nimeyaona kwa macho yangu wala sio kitabu cha huyo Bundara. As a fact kama unakumbuka nilipingana naye sana wakati akihojiwa na Mwanakijiji ktk baadhi ya maandishi yake. Kifupi yeye kuandika kitabu hicho haina maana mimi sikuwa na hoja hiyo kichwani.
Mkuu ebu rudi nyuma utazame tulikotoka... NI historia inayotwambia kwamba Mwarabu na mzungu waliingia Afrika na shanga wakatuteka na kututawala. Sidhani kuna nchi ambazo ilimbidi kupigana vita kubwa kutekwa labda huyo Shaka Zuru naye alipoipelekwa Uingereza kukutana na Queen mchezo umekwisha. Tukaingizwa utumwa tukauzana sisdi kwa sisi wengine wakiuza mateka wa vita kati yetu. Tukasimama kutazama watumwa wakiburuzwa na kuingizwa ktk Majahazi.. Sii ajabu hata hilo underground route iliyopo Zanzibar imejengwa kwa mkono wa mwafrika. Tipu Tippu alikuwa mtu mwafrika mwenzetu na aliheshimika kwa kukusanya watumwa...Mataifa mengine walipigana wakashindwa na wakaendelea kupigana hadi ushindi...Haikuwa rahisi kabisa kwa mtawala kama ilivyokuwa Afrika.

Halafu mkuu unapotoka unapojaribu kutenganisha Waafrika na waarabu wa Tunisia na Egypt kwa sababu hawa wote ni waafrika sijatumia neno watu weusi..Na hata kama utapenda kutumia rangi mkuu bado utakuta nchi hizo zilikuwa nchi za watu weusi kihistoria. Wakaingia na kuburuza watu weusi hadi wamechukua nchi hizo na mweusi hana sauti tena zaidi ya kukubali utumwa..

Hili ni somo kwetu! Ni somo ambalo linatakiwa sisi tuliangal;ie na kujifunza kwamba tumekuwa wanyonge kwa umaskini wetu. Sasa hivi kuna nchi gani Afrika ambayo UCHUMI wake haukaliwi na mgeni iwe mzungu ama mwarabu?.. Globalazition imetuingiza upya ktk utumwa wa shanga, safari hii ni karatasi la rangi ya kijani! -Dollar.
Viongozi wetu wenyewe wamekiri kwamba bila wazungu hatuiwezi kwenda kokote, kina Mkapa wamefikia kutukaripia na kutuita wajinga kwa sababu wao pamoja na sisi tumekuwa watumwa wa akili toka babu zetu hivyo hatuwezi kufikiria nje ya mipaka ya utumwa.
Kaingia Kikwete ndio kwanza anawakumbatia kina Sinclair, mikataba ya ajabuajabu na wageni ambayo haina manufaa kwa wananchi na wengi tunazidi kushangilia mageuzi ya utumwa huu..
Nchi zote za kiafrika hadi kesho tunategemea misaada ya nchi za magharibi na misaada hiyo haitoki bila masharti magumu ya kibiashara ambayo kwa mtumwa tunasema ni afadhali hali inazidi kudhihirisha unyonge wetu...
I can go on and on... hadi kesho lakini kitu muhimu hapa ni sisi kukubali kwamba tunauzembe mkubwa sana ambao haukuanza jana. Tunaamini sana watu wanaokuja na misahamu mkononi kama ndio waokozi wetu. Tunaabudu binadamu na biography zao kuwa muhimu zaidi kuliko ujumbe wanaokuja nao.
Leo hii waislaam kwa Wakristu tunabishana kutwa nzima kuhusu Yesu na Muhammad (Chupa) kuliko ujumbe wanaokuja nao (sodailiyondani ya chupa) Tunaabudu kwa sababu ya biography ya maisha yao kuliko Mungu mwenyewe aliyetuumba...hivyo kutufanya sisi sio Waislaam wala Wakristu wa kweli..Hivyohivyo tunawaamini kiina Kikwete na viongozi wengine wote kwa kufuata biography zao wala sio CV ama ujumbe wanaokuja nao kwetu - NDIVYO TULKIVYO.
Hii ni hatua moja ya kufahamu uzembe wetu na tukikubali hapo tunaweza kutazama njia tofauti za kuondokana na uzembe huu.. na hauwezi kuondoka kama hatuwezi kuwa timu moja yenye kutafuta ushindi dhidi ya utumwa...
 
"Kiongozi anayeng'ang'ania kwenda Ikulu, huyo hatufai, kwani kwa mtu muadilifu Ikulu ni mzigo mkubwa" - Nyerere
 
I just love JF!

Back to the "Ndivyo tulivyo" Huu msemo, ni dhahiri ni wa kebehi sana. Lakini why cant we prove otherwise? Kuna aliyesema eti yeye ni tofauti na bunch of irresponsible people! Ok, granted. Tofauti yako ni ipi? kujua kizungu/kiiengereza na kukiandika vizuri au nini, Kuishi ulaya au America? kusoma mpaka PhD Oxford au kipi haswa?? NOTE: Iam not saying kwamba wewe siyo tofauti, lakini nauliza hiyo tofauti ni ipi? Ambayo inaweza kumkomboa mwafrika mwenzio?

Jiulize waafrika wote universally tuna attribute ya umaskini! Nenda angalia waafrika wanaoishi nje na bara letu ndo maskini wa kutupwa huko waliko..iwe brazil, Ulaya, USA kwenyewe na ofcourse HAITI! Waafrica wako associated na umskini..we can spin it the way we want..ila ndiyo ukweli huo! Ukisema wazungu ndivyo walivyo..unafikiri kuna atakayenuna au kulalamika? Hapana kwa sababu ndio ukweli wao attribute yao kubwa ni mafanikio, hata kama wako wachache ambao ni homeless! Lakaini mafanikio yanaonekana. Ndo maana wengi wetu walipotaka kwenda kusoma nje, HAKUNA ALIYEOMBA VISA YA KWENDA HAITI! kILA MTU ALITAKA AENDE KWENYE NEEMA.

Friends tuache longo longo hapa. Waafrica ndivyo tulivyo kwa sababu WE JUST DONT GET IT. What is insanity? Einstein alisema; It is doing the same thing again and again expecting different results. Iwe ni demokrasia mbovu ya kukataa matokeo ya chaguzi tulizoziitisha wenyewe..ni Africa..na kwingineko waliko weusi..

Tumekuwa na viongozi ambao wametupeleka kwenye lindi la umaskini lakini tunawachagua hao hao. Tulililia uhuru kwamba tunanyonywa..lakini leo sisi ndo tunawakabidhi mali mchana kweupe... Tulisema kwamba wakoloni walikuwa wananyanyasa wananchi wetu, leo hii sisi ndo tunawanyanyasa hao raia vibaya mno..na wao wanachekelea tuu... Tulisema akina Mangungo walituuza kwa akina Karl Peters kwa vile hawakusoma, lakini leo wanaotuuza wanashahada za harvard na vyuo vingine mahiri duniani. Haya watu wanaiba billions ambazo zingesaidia wote, lakini hapa hapa tunakuja kuwatetea simply because aliyeiba ni mjomba au baba na wewe ulipatapo, leo Africa viongozi wanakuja kutuomba kura na sisi tunawapa na baada ya hapo tunaanza kulalamika, Tunasema kwamba turudishe wasomi tojka ulaya ndo waje kutusaidia kwa vile wana "exposure" hao hao ndo wanatutenda... .The list is endeless.

Ok, ingekuwa ni isolated cases nadhani Nyani angekuwa na lake jambo kutu-generalize. Lakini je, nenda Zimbabwe, Sierra Leone, Liberia, Kenya, Congo, Guine etc..we ALL face similar problems!

Perhaps huo msemo unauma sana, labda unaweza kutufanya tukabadilika.

Inauma sana kukubaliana na huo msemo, alkini jee, alternative yetu ni ipi? au ni kuendelea kuilaumu historia tuu.

Subiri na madudu ya JK yooote na umasikini unaotishia uhai wa watanzania..come 2010. Tutamchagua huyu huyu kwa landslide.

Mwenye kubisha na abishe but Iam with Mkandara on the same wevelength!

Badala ya kusema waafrika ndivyo tulivyo..Ni bora useme bara la afrika ndivyo lilivyo..Ama umalizie na kuwa more specific...Useme weusi ndivyo walivyo nk.
Huwezi kusema waafrika ndivyo walivyo kwa ku generelize..Unaweza kusema wamarekani ndivyo walivyo,Waasia ndivyo walivyo kwa kulinganisha mabara hayo.....Then ili uwe specific kama alivyosema Gamba la nyoka....Wewe na nyani ni bora mkiri kuwa mnamaanisha weusi ndivyo walivyo kwasababu kuna saa mnachanganya sana..Mnafananisha waafrika na wazungu na wakati kuna wazungu wa afrika nk....Ni bora muweke wazi kuwa nyie mna mawazo mabaya sana na ni negative force in the world....

Mkandara nina swali kwako...Umewataja kina Patel nk....Je kina Patel na wao ndiyo miafrika jinsi ilivyo?

Kwa mfano hapo chini Masanja kadai waafrika dunia pote wana attribute ya umasikini...Unamjuwa Al Fayed wewe?
Vipi kuhusu wenye vijisenti?

Jiulize waafrika wote universally tuna attribute ya umaskini!

Haimake sense kabisaaa.
 
Bana eeh...tunaposema Waafrika tunamaanisha weusi.....najua hilo mnalijua kabisa lakini basi tu kwa vile ukweli unauma hamtaki kukubali. Kwa nini msiondoke huku majuu mnakoishi, kusoma, na kufanya kazi na mrudi kwenu mkasome UD na Mzumbe....
 
Kwahiyo adui ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe ama adui wa mweusi ni mweusi mwenyewe?
 
Kwa mfano picha hiyo hapo chini..Hao wenye kanzu nyepu mbona ni weusi tu wenye masharubu lakini eti ni waarabu?
vov3o2.jpg
 
Kweli kabisa Mkuu Mkandara.
Tunayaona matatizo lakini tunayaangalia kana kwamba si yetu. Tumejenga utamaduni wa kutegemea hata kwa fikra. Inakuwa shida sana kubuni suluhisho za matatizo yanayotukabili. Faraja yetu ni kuyafanya matatizo haya yaonekane kuwa hayatokani na sisi, kwamba yameletwa au yanakuzwa sana na watu wanje.
Lakini katika manrtiki ya kawaida tu sisi ni waafrika, na kama tukiwa weupe, weusi au wa kijani, hivyo ndivyo tulivyo, sasa kuna ubishi gani kuwa waafrika hatupo hivyo. Tukoje sasa?
 
Bana eeh...tunaposema Waafrika tunamaanisha weusi.....najua hilo mnalijua kabisa lakini basi tu kwa vile ukweli unauma hamtaki kukubali. Kwa nini msiondoke huku majuu mnakoishi, kusoma, na kufanya kazi na mrudi kwenu mkasome UD na Mzumbe....

sasa hapa ndipo inapodhihirika kukosekana kwa maana ya huu msemo, kwa sababu siyo kweli kwamba uafrika ni ueusi,Martin luther King hakuwa Mwafrika ni mmarekani lakini alikuwa Mweusi, Michael Jordan si Mwafrika ni mmarekani lakini ni mweusi, Alsharpton si Mwafrika ni mmarekani lakini ni Mweusi., Fredrick de clerk si mweusi lakini ni Mwafrika, Gamal abdel nasser si mweusi lakini ni Mwafrika.

kwa hiyo kui "equate" Africa na ueusi ni ubaguzi wa Rangi, ni sawa na Iddi Amini alipofukuza wahindi kwa hoja za kuwanyonya weusi, kwa kudhani kuwa "Uafrika ni ueusi".
 
Back
Top Bottom