Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
sasa hapa ndipo inapodhihirika kukosekana kwa maana ya huu msemo, kwa sababu siyo kweli kwamba uafrika ni ueusi,Martin luther King hakuwa Mwafrika ni mmarekani lakini alikuwa Mweusi, Michael Jordan si Mwafrika ni mmarekani lakini ni mweusi, Alsharpton si Mwafrika ni mmarekani lakini ni Mweusi., Fredrick de clerk si mweusi lakini ni Mwafrika, Gamal abdel nasser si mweusi lakini ni Mwafrika.
kwa hiyo kui "equate" Africa na ueusi ni ubaguzi wa Rangi, ni sawa na Iddi Amini alipofukuza wahindi kwa hoja za kuwanyonya weusi, kwa kudhani kuwa "Uafrika ni ueusi".
Hao wote uliowataka angalia ancestral origin yao ni wapi?
Halafu umemtaja De Klerk, ok angalia SA ilipo kiuchumu...waaaaay far ahead ukilinganisha na nchi zingine Afrika....kulikoni?