Tanzania: Quotes & Our National Politics!

sasa hapa ndipo inapodhihirika kukosekana kwa maana ya huu msemo, kwa sababu siyo kweli kwamba uafrika ni ueusi,Martin luther King hakuwa Mwafrika ni mmarekani lakini alikuwa Mweusi, Michael Jordan si Mwafrika ni mmarekani lakini ni mweusi, Alsharpton si Mwafrika ni mmarekani lakini ni Mweusi., Fredrick de clerk si mweusi lakini ni Mwafrika, Gamal abdel nasser si mweusi lakini ni Mwafrika.

kwa hiyo kui "equate" Africa na ueusi ni ubaguzi wa Rangi, ni sawa na Iddi Amini alipofukuza wahindi kwa hoja za kuwanyonya weusi, kwa kudhani kuwa "Uafrika ni ueusi".

Hao wote uliowataka angalia ancestral origin yao ni wapi?

Halafu umemtaja De Klerk, ok angalia SA ilipo kiuchumu...waaaaay far ahead ukilinganisha na nchi zingine Afrika....kulikoni?
 
Badala ya kusema waafrika ndivyo tulivyo..Ni bora useme bara la afrika ndivyo lilivyo..Ama umalizie na kuwa more specific...Useme weusi ndivyo walivyo nk.
Huwezi kusema waafrika ndivyo walivyo kwa ku generelize..Unaweza kusema wamarekani ndivyo walivyo,Waasia ndivyo walivyo kwa kulinganisha mabara hayo.....Then ili uwe specific kama alivyosema Gamba la nyoka....Wewe na nyani ni bora mkiri kuwa mnamaanisha weusi ndivyo walivyo kwasababu kuna saa mnachanganya sana..Mnafananisha waafrika na wazungu na wakati kuna wazungu wa afrika nk....Ni bora muweke wazi kuwa nyie mna mawazo mabaya sana na ni negative force in the world....

Mkandara nina swali kwako...Umewataja kina Patel nk....Je kina Patel na wao ndiyo miafrika jinsi ilivyo?

Kwa mfano hapo chini Masanja kadai waafrika dunia pote wana attribute ya umasikini...Unamjuwa Al Fayed wewe?
Vipi kuhusu wenye vijisenti?

Haimake sense kabisaaa.

Kijana inabidi ujifunze kupangua hoja bila finger pointing. I am an African and a proud one. Unajua maana ya negative force wewe kijana? Show me what you have achieved ambacho kinakutofautisha na waafrika wenzako. Ok, wengine tuna mawazo ambayo ni negative forces. Granted. Wewe mwenye mawazo positive umefanya nini? Ambacho kama waafrika tunajivunia? Wewe mpaka leo unagongea keybord yako New York au London ambako wazungu hao hao unaowatukana wamepatengeneza..si urudi hapa Sinza ubanane kwenye internet cafe uone adha yake? uonje machungu ya kukatiwa umeme (kwa wenye uwezo wa kuwa nao). Instead you have delegated your role to build this country to somebody else and you expect changes!

Ni yale yale ya Mugabe na wenzake..hatutaki misaada ya magharibi ILA sasa tunakwenda China..hiyo ni akili au ni tope?

.........unafikiri Tanzania tuna akina Mengi wangapi? unajua kwamba 80% of our fellow compatriots hawana uhakika na mlo wa usiku? kijana wewe unaongea nini? you can only understand how poor Tanzania is if you have lived in this country (siongelei Masaki na Obay!). Acha bla blah na fantasies za kuishi majuu! Tunaongelea REAL LIFE HAPA!

Au kwa vile Obama leo yuko on the brink kuwa rais wa US, basi tusema All African Americans are doing better? The fact is bado African Americans are the poorest in US and they will continue being so, unless and until they change their atitude towards the whole set up ya US polity.

Again I say it, in order we Africans to move ahead and liberate our selves in these chains of poverty, we need fundamental changes in the way we think and percieve the world. We are the worst of our own. Adui wa mwafrika yuko Africa na si kwingineko. And we can do so, if we fist know where we went wrong.
 
Kwahiyo kumbe mission yako ni turudishe nchi kwa mkoloni mzungu kwasababu sisi ni mieusi ilivyo..Duh!
Kaazi kweli kweli...Lakini Nyani kisaikolojia ukikiri kuwa hakuna la kufanya then ni very negative.
Watu wengi tu wenye mawazo ya kumkomboa mweusi wameuwawa...Sasa waliuwawa kwa jisni walivyo?
Ka huelewi...Then lazima ujuwe kuwa idea huanzia ndani ya room moja na ikifanikiwa kutoka kwa mtu mmoja...Ikakubaliwa...then inaleta mabadiliko...Ikaleta mabadiliko hapo kwenye room,cave,exile whatever it is...Inaspread na ndio maana kuna conflict.
Conflict ikitokea ofcourse nyani na wenzako mtapigana upande wa mweupe amabaye ni superior kwenu..Hivyo sishangai apartheid iliprevail.
Halafu fuatilia historia...Kama SA ingekuwa inatawaliwa na mweusi basi hata hayo madini wazungu wasingenunua.
 
Kijana inabidi ujifunze kupangua hoja bila finger pointing. I am an African and a proud one. Unajua maana ya negative force wewe kijana? Show me what you have achieved ambacho kinakutofautisha na waafrika wenzako. Ok, wengine tuna mawazo ambayo ni negative forces. Granted. Wewe mwenye mawazo positive umefanya nini? Ambacho kama waafrika tunajivunia? Wewe mpaka leo unagongea keybord yako New York au London ambako wazungu hao hao unaowatukana wamepatengeneza..si urudi hapa Sinza ubanane kwenye internet cafe uone adha yake? uonje machungu ya kukatiwa umeme (kwa wenye uwezo wa kuwa nao). Instead you have delegated your role to build this country to somebody else and you expect changes!

Ni yale yale ya Mugabe na wenzake..hatutaki misaada ya magharibi ILA sasa tunakwenda China..hiyo ni akili au ni tope?

.........unafikiri Tanzania tuna akina Mengi wangapi? unajua kwamba 80% of our fellow compatriots hawana uhakika na mlo wa usiku? kijana wewe unaongea nini? you can only understand how poor Tanzania is if you have lived in this country (siongelei Masaki na Obay!). Acha bla blah na fantasies za kuishi majuu! Tunaongelea REAL LIFE HAPA!

Au kwa vile Obama leo yuko on the brink kuwa rais wa US, basi tusema All African Americans are doing better? The fact is bado African Americans are the poorest in US and they will continue being so, unless and until they change their atitude towards the whole set up ya US polity.

Again I say it, in order we Africans to move ahead and liberate our selves in these chains of poverty, we need fundamental changes in the way we think and percieve the world. We are the worst of our own. Adui wa mwafrika yuko Africa na si kwingineko. And we can do so, if we fist know where we went wrong.

Acha jazba wewe mtumwa wa akili...Unaleta eti za kubanana Sinza kwenye cafe...Mmemuuwa Wangwe na bado mnaendelea kuuwa huko Tarime....Nani asiyejuwa kuwa kuna wanaobanana Sinza na mafisadi wenye kula neema kama peponi?
Pumbavu sana nyie mnatumia siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa...Mna twist issue kwa kujidai mnaongea kimapinduzi ili kuwaghilib wananchi..Na nyie ndio mnaowafanya wenzenu watumwa na unataka nirudi ili mwendelee kupata watumwa...Nikirudi hapo mtaniuwa nyie pumbavu....Nyie kabla ya kurudi ni lazima tuhakikishe hamna ushawishi kwasababu nyie ndiyo mashetani wenyewe.
Maneno uliyomalizia nayo ni mazuri...Lakini kwasababu ya UNAZI wenui wa Kimakamba makamba...Then you are the rotten ones.
 
Eee bwana ee, yamekuwa haya? Duh! Sijawahi kutukanwa hivi tangu nijiunge Jambo Forums then Jamii Forums. Anyway Iam not good at abusing people. But Iam sure you can do better than this. Sure you can!

Tuendelee na mjadala
.
 
Issue inapofikia kuwa matusi inakuwa upungufu wa akili tena kwa sababu kama mtu unakuwa objective sioni sababu ya kuingiza matusi ndani yake, ni jamba la kawaida sana watu kutofautiana point au perspective lakini sasa hii inaenda mbali sana hii. Pole sana Masanja, Jmushi inabidi ujifunze ku-argue point zako bila matusi ndugu.

Uphold that which is good!!

Originally Posted by jmushi1
Acha jazba wewe mtumwa wa akili...Unaleta eti za kubanana Sinza kwenye cafe...Mmemuuwa Wangwe na bado mnaendelea kuuwa huko Tarime....Nani asiyejuwa kuwa kuna wanaobanana Sinza na mafisadi wenye kula neema kama peponi?
Pumbavu sana nyie mnatumia siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa...Mna twist issue kwa kujidai mnaongea kimapinduzi ili kuwaghilib wananchi..Na nyie ndio mnaowafanya wenzenu watumwa na unataka nirudi ili mwendelee kupata watumwa...Nikirudi hapo mtaniuwa nyie pumbavu....Nyie kabla ya kurudi ni lazima tuhakikishe hamna ushawishi kwasababu nyie ndiyo mashetani wenyewe.
Maneno uliyomalizia nayo ni mazuri...Lakini kwasababu ya UNAZI wenui wa Kimakamba makamba...Then you are the rotten ones.
 
sasa hapa ndipo inapodhihirika kukosekana kwa maana ya huu msemo, kwa sababu siyo kweli kwamba uafrika ni ueusi,Martin luther King hakuwa Mwafrika ni mmarekani lakini alikuwa Mweusi, Michael Jordan si Mwafrika ni mmarekani lakini ni mweusi, Alsharpton si Mwafrika ni mmarekani lakini ni Mweusi., Fredrick de clerk si mweusi lakini ni Mwafrika, Gamal abdel nasser si mweusi lakini ni Mwafrika.

kwa hiyo kui "equate" Africa na ueusi ni ubaguzi wa Rangi, ni sawa na Iddi Amini alipofukuza wahindi kwa hoja za kuwanyonya weusi, kwa kudhani kuwa "Uafrika ni ueusi".

Muungwana Gamba, hivi nikuulize, Who is an African?
 
gm,
Mara nyingi sio rahisi mtu kutoa matusi kama hakuchokozwa. Kuna watu ambao ni wepesi kutukana - tujifunze kuishi nao. Nakumbuka nikiwa mdogo kuna wenzetu waliokuwa wepesi kuokota mawe wakiudhiwa.

Lazydog,

Nimekusoma Mkuu, thanks!
 
Issue inapofikia kuwa matusi inakuwa upungufu wa akili tena kwa sababu kama mtu unakuwa objective sioni sababu ya kuingiza matusi ndani yake, ni jamba la kawaida sana watu kutofautiana point au perspective lakini sasa hii inaenda mbali sana hii. Pole sana Masanja, Jmushi inabidi ujifunze ku-argue point zako bila matusi ndugu.

Uphold that which is good!!

gm asante.

Unajua kama Lazydog alivyoandika kuna watu wepesi kutukana. LAKINI ukiona mtu na umri huu NA KARNE HII YA UELEWA... bado anatukana matusi kama Pumbavu, rotten et al, kisa mmetofautiana kimawazo.... Unakuwa na walakini na dimeanor ya huyo mtu. . Ni vyema na sahihi kutofautiana KIMTIZAMO...lakini si vizuri kumtukana mwenzako.

Sijawahi kuona mtu kama Mwanakijiji anarusha matusi ingawa kuna kipindi anarushiwa makombora kweli kweli. Nadhani kijana wetu akikua ataacha matusi.
 
Muungwana Gamba, hivi nikuulize, Who is an African?

well nimempa challenge NyaniMcain ya kutueleza Mwafrika anayemkusudia katika msemo wake wa "Waafrika ndivyo tulivyo", ni nani? akasema Mwafrika ni mtu mweusi, kwa hiyo kwa NyaniMcain rangi ya ngozi ndo uafrika wenyewe, kwa misingi hiyo Salim Ahmed Salim siyo Mwafrika kwa sababu rangi ya ngozi yake si nyeusi, kwa Mujibu wa NyaniMcain Seif Sharif Hamadi siyo mwafrika kwa sababu Rangi ya ngozi yake si nyeusi. kwa msemo wa Nyani inaimply kwamba Kingunge Ngambale Mwiru ni Mwafrika na Abdrahman Kinana si Mwafrika kwa sababu kingunge ni mweusi.
kwa hiyo nilitaka kuonyesha flaws katika hiyo statement ya "Mwafrika ni mtu mweusi".
NyaniMcain akaendelea kusema kuwa kwa kuwa watu weusi wa marekani wametoka Afrika basi nao ni waafrika!. Uafrika wao kwa mujibu wa Nyani kwanza si kwa sababu wametoka Afrika bali kwa sababu kwanza ni Weusi!. sasa kwa hoja yake hiyo basi Michael Jackson siyo Mwafrika tena kwa sababu sasa ni Mweupe!. keshajibadirisha ngozi yake na kuwa Mweupe!, si mweusi tena!. je hapo hoja ya Mwafrika ni mtu mweusi bado inasimama?
 
gm asante.

Unajua kama Lazydog alivyoandika kuna watu wepesi kutukana. LAKINI ukiona mtu na umri huu NA KARNE HII YA UELEWA... bado anatukana matusi kama Pumbavu, rotten et al, kisa mmetofautiana kimawazo.... Unakuwa na walakini na dimeanor ya huyo mtu. . Ni vyema na sahihi kutofautiana KIMTIZAMO...lakini si vizuri kumtukana mwenzako.

Sijawahi kuona mtu kama Mwanakijiji anarusha matusi ingawa kuna kipindi anarushiwa makombora kweli kweli. Nadhani kijana wetu akikua ataacha matusi.

Miafrika ndivyo tulivyo
 
Waafrika wenye ngozi iliyo dark wana shades tofauti. Sasa Salim Ahmed Salim sitashangaa kama ana damu mchanganyiko-mmanga koko-. Na nimesema Waafrika ni watu ambao wana asili ya bara la Afrika. Kwa mfano Obama, wewe unam consider yeye kuwa ni nani-mzungu au mweusi? Kibailojia yuko nusu nusu ka hiyo mimi namwona yeye kuwa ni chotara au mullato. Kwa hiyo Mwafrika ninayemzungumzia mimi ni mtu kama Mugabe, Mkapa, Makamba, Nchimbi, na hata mazeruzeru. Miafrika Ndivyo Tulivyo until you prove me otherwise....
 
gm asante.

Unajua kama Lazydog alivyoandika kuna watu wepesi kutukana. LAKINI ukiona mtu na umri huu NA KARNE HII YA UELEWA... bado anatukana matusi kama Pumbavu, rotten et al, kisa mmetofautiana kimawazo.... Unakuwa na walakini na dimeanor ya huyo mtu. . Ni vyema na sahihi kutofautiana KIMTIZAMO...lakini si vizuri kumtukana mwenzako.

Sijawahi kuona mtu kama Mwanakijiji anarusha matusi ingawa kuna kipindi anarushiwa makombora kweli kweli. Nadhani kijana wetu akikua ataacha matusi.

Masanja naona umeamua kujifanya hukuelewa nilichosema. Pengine hujashtukia; ulitoka nje ya mada ukamlengeshea makombora yeye kama kutaka kumvua nguo vile.

.
 
"Nyani haoni his behind" - Author Uknown!

Ni rahisi sana kwa viongozi wetu kuyaona matatizo ya taifa in sisi wananchi, kama vile sisi tunavyoyaona in them, lakini viongozi wanakuwa on the better side kwa sababu pamoja na malalamiko yetu mengi, kama huamini angalia hii forum, tunawachagua tena kama kawaida na chama chao pia.

Wakuu naomba niseme hivi, kwa kweli nimefarijika sana na hii thread na hasa wananchi mnavyomkoma nyani giladi, yaani kisawa sawa, saafi sana kwa sababu this is one thread ambapo tunajaribu kujiangalia wenyewe zaidi kuliko viongozi na vyama vyao vya siasa, na guess what hatukubaliani kabisaa,

Sasa akija mmoja wa viongozi tunaowpiga mawe hapa si ataondoka ameridhika sana kuwa watakuua kwenye utawala for a very long time to come, au inaweza pia kwua demokrasia at work!

Yaani hii thread ninaizimia sana maana ndio sisi hapa, yaani wenyewe original wekeni mawe wanangu leteni vitu, Ahhhhh! I love it!
 
Field Marshall,

Heshima mbele mkuu,

Unafikiri walengwa wanasoma hizi hasa ukizingatia kuwa wameishakuwa na pre-conceived perspeption kuwa JF haifai? Na kama wanasoma unafikiri kuna lolote wanaweza kuchukua hapa kutokana na historia waliyoweka ya kupuuzia mambo ambayo hayawapatii kula au kura?

Ni hilo tu mkuu!
 
Acha jazba wewe mtumwa wa akili...Unaleta eti za kubanana Sinza kwenye cafe...Mmemuuwa Wangwe na bado mnaendelea kuuwa huko Tarime....Nani asiyejuwa kuwa kuna wanaobanana Sinza na mafisadi wenye kula neema kama peponi?
Pumbavu sana nyie mnatumia siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa...Mna twist issue kwa kujidai mnaongea kimapinduzi ili kuwaghilib wananchi..Na nyie ndio mnaowafanya wenzenu watumwa na unataka nirudi ili mwendelee kupata watumwa...Nikirudi hapo mtaniuwa nyie pumbavu....Nyie kabla ya kurudi ni lazima tuhakikishe hamna ushawishi kwasababu nyie ndiyo mashetani wenyewe.
Maneno uliyomalizia nayo ni mazuri...Lakini kwasababu ya UNAZI wenui wa Kimakamba makamba...Then you are the rotten ones.

JMushi,

Mwanawane mbona unarudi nyuma kwa yule JMushi aliyekuwa na posti 500? Umeshabalehe bwana usirudi nyuma na kugeuka jiwe!
 
Mkuu GM,

Heshima ikurudie sana bro, unajua wangekwua ahwasomi hapa usingeniona hapa hata siku moja, infact siku hizi ukifungua briefcase zao utakuta arcticle kibao toka hapa, binafsi ninawa-forwardia almost kila siku,

Hivi majuzi waziri mmoja alionekana na article kutoka hapa, akiionyesha kwa viongozi wenziwe na kujsiifu sana kuwa amekua maarufu sana siku hizi kwa kushindana na mtandao, unafikiri mkuu kwa nini nimekua nikilia kuwa watu waiache ile topic ya watoto Tabora,

Ninaomba nikuhakikishie kwa 100% kwamba siku nikijua kuwa hawapo hapa hutaniona tena hapa, regardless ya response zao on education za maksoa yao, lakini tupo nao hapa bro, mukulu mwenyewe huingia saa za usiku sana wakati pametulia na hakuna watu.

Huko umoja wa kina maam (uwt), nasikia kuna mpaka kitengo maalum kwa ajili ya hapa, kwa hiyo mkuu uko kwenye good hands hapa, wewe ni kupiga mawe tu yanafika wala usiwe na wasi wasi.

Ahsante Mkuu.
 
Mkuu heshima tena,

Nimekupata barabara, I wish wangesoma na kufanya kazi ya maana hata kama sio kwa yale yaliyoandikwa hapa. I guess kila kitu kina mda na wakati wake.
 
Kuna visa (hadithi) viwili ambavyo vilikuwa vikisimuliwa ama mitaani hata kwenye mashule mithili ya hadithi za jioni kuhusu Mwafrika na unyonge wake. Kwa kiwango kikubwa, visa hivi vinaelemea sana kumuonyesha kuwa kauli ya "Ndivyo Tulivyo" ina uhalali!

Kisa cha kwanza; Siku moja, Mwafrika, Mwarabu, Mwasia na Mzungu walikuwa kijiweni, Mungu akaja akawaambia nina vitu vinne inabidi niwagawie, kubalianeni nani anataka nini. Vitu hivyo vilikuwa ni Utajiri, Maarifa, Biashara na Ngoma.

Basi wale wanne wakakaa wakitafakari na kujadiliana kisha kila mtu akashika alichokitaka.

Mungu aliporudi kuwahoji chaguzi zao, akakuta kila mtu kachagua kitu kimoja na hapatakuwa na ugomvi au kufanya uamuzi kupatanisha.

Mzungu akadamka, mimi nataka Akili, Mungu akawauliza wengine, je kuna mwingine kati yenu anayetaka Akili, wakasema hakuna, Mzungu akapewa Akili (Maarifa).

Mungu akasema, nani mwingine aliye tayari Mwarabu akakurupuka "nataka Utajiri" na kama wakati wa Mzungu, hakuna aliyebisha!

Mwasia akaja haraka, "Mungu mimi nataka Biashara, ili nitembee dunia nzima na kuwauzia watu vitu. Mungu akamgeukia Mwafrika, je wakubaliana na hili? Mwafrika huku akikenua meno na tabasamu akasema ndiyo mwache achukue biashara maana wote hawa wamekosea, wameiacha Ngoma ambayo ni muziki safi na ina mdundo.

Mwafrika akakimbilia ngoma yake akaikumbatia akaanza kutumbuiza huku Mzungu akitafakari nini cha kufanya, Mwarabu akiufurahia utajiri wake na Mwasia akipanga mipango ya biashara!

Mpaka leo tumeendela kukumbatia Ngoma na ndio maana tu mahiri kwenye sanaa!

Kisa cha Pili: Hiki nilihadithiwa na Mchungaji kanisani wakati wa kwenda Mafundisho ya Kipaimara. Tulimuuliza kwa nini kama Mungu ana mapenzi na alituumba kwa mfano wake,iweje kuna Wazungu, Wachina, Waafrika au Waarabu?

Jibu lake likawa ni ile laana ya mtoto wa Nuhu (aliyejenga safina)aliyemcheka baba yake kuwa uchi baada ya kulewa. Mchungaji akatuambia kuwa uzao wa yule mtoto aliyelaaniwa ndio chimbuko la Waafrika na sisi ni watu tuliolaaniwa kuwa watumwa na watumishi wa wenzetu!

Sasa kama hadithi hizi nilisimuliwa nikiwa mtoto na tukazizungumza kijiweni tutakuwa, hamuoni kuwa tayari tulishapanda mbegu ya kujiona dhaifu na wanyonge hivyo kuhalalisha dhana ya "Ndivyo Tulivyo"?
 
Back
Top Bottom