Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Mlishindwa kutufikia 2010 wakati tofauti ya GDP kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa $8 billion pekee, sahi ni $42 billion mtawezana?Tunakuja tutakufikia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlishindwa kutufikia 2010 wakati tofauti ya GDP kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa $8 billion pekee, sahi ni $42 billion mtawezana?Tunakuja tutakufikia tu
Fanyeni mpango wa kuikomboa bandari ya Mombasa Kwanza kwa wachinaWakenya wamelalamika lini kwamba wanatengwa na wametengwa kivipi? Mradi wenyewe ni wazo la World Bank kwa 100%, wale wale mnaopenda kuwaita 'mabeberu'. Wameubuni wao, wamewashawishi mjiunge wao wenyewe, wanautekeleza wao. Ila Kenya tukajiondoa kwasababu ya ukosefu wa uwazi kwenye kuipa kampuni ya Pakistan kandarasi ya kutekekeza mradi wenyewe. Unachekesha unaposema mnasonga mbele, wakati Stock Exchange zenu zote kwa pamoja, UG, Tz na RW ni karibia nusu ya Nairobi SE. Kwani Kenya imefika hapo ilipo kwa usaidizi wa nani?
Mlishindwa kutufikia 2010 wakati tofauti ya GDP kati ya Kenya na Tanzania ilikuwa $8 billion pekee, sahi ni $42 billion mtawezana?
My free advice to Kenyans, you need to spend more time for listening than for talking, remember that a person talks what he/she knows, but during listening you can get new things which you don't know.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Just imagine how hard it is for a priest to deliver a meaningful homily without mentioning the devil.If you have no business with Kenya then why are you mentioning Kenya in all your discussions?
Wewe ndio hujui unalozungumzaMimi ni Mtanzania ndugu yangu. Kama kichekesho hujakiona basi una tatizo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi tu wanajua hivyo, sema inakuwa ngumu kutamka na kukubali hadharani. Wamejawa na chuki na hasira tu wamevimba kama vifutu...huoni wanavyorusha matusi hovyo hovyo? Na kuokoteza vi maneno/habari vya kujipa furaha....
Mashati mwenyewe imembidi akale upepo wa bahari kuzindua vitu ambavyo hamna....[emoji1787][emoji1787]
This is a combination of poorest countries. Next time usijaribu kusema Magu ama TANZANIA ni babalao.That's why they are combining their energies, remember now you talk Stock Exchange that services three countries with different opportunities and population of over 120M, and GDP of over $110B.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
This is funny..Tanzania is leading with what?Kenya iliongoza kundi la nchi tatu za Kenya, Rwanda and Uganda kuunda "Coalition of the Willing", Kenya failed terribly.
Tanzania is leading this cooperation, let's wait and see [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu unafahamu stock exchanges zinavyofanya kazi zake? Hakuna pesa yoyote inayolindwa na Stock exchanges popote pale duniani labda tupe mfano.Kenya haiwezi na haitawahi ingia katika muungano wa kifedha na nchi ambayo haijui hata kulinda sarafu yao. Wataweza stock exchange.
Hiyo ndiyo makosa ujerumani walifanya na sasa wajerumani wanalalamika wanataka deutsch mark yao irudishwe. Britain ilikataa pia kuingia muungano kama hiyo na eu.
Kuingia muungano wa kifedha na Tanzania ni kama kuita abunuwasi ama juha kalulu awe accountant wako.
Ndiyo maana Bank of kigali iliamua kuingia Nairobi stock exchange(nse) na sio dse ama use.
“It was very natural that Nairobi will be our first market for international listing. The liquidity at the Nairobi exchange is very impressive (and) the custodial services here satisfy the investors who want that comfort,” Bank of Kigali Group chair March Holtzman said.
Hata kampuni ya Uganda "Umeme" pia iliamua kuingia nse mwaka wa 2012 mwezi wa december.
This is a combination of poorest countries. Next time usijaribu kusema Magu ama TANZANIA ni babalao.
Hivi inafahamu nani wananunua hizo shares? Waafrika bado safari ni ndefu sana.Yaani ukijumuisha Stock exchange ya hizi nchi tatu (TZ $6B, UG $5B, RW $3 B) unapata $14 billion na huku stock exchange ya Kenya ni $22 billion. Yaani sisi tumedouble hizi nchi malazy tatu combined.
Mkuu najua na ninafahamu vizuri sana. Ila hii ilikuwa iwe mwanzo wa kutengeneza muungano wa kifedha na hiyo tunakataa kabla ianze.Mkuu unafahamu stock exchanges zinavyofanya kazi zake? Hakuna pesa yoyote inayolindwa na Stock exchanges popote pale duniani labda tupe mfano.
Sijaona mahali popote walipoongelea muungano wa kipesa.Mkuu najua na ninafahamu vizuri sana. Ila hii ilikuwa iwe mwanzo wa kutengeneza muungano wa kifedha na hiyo tunakataa kabla ianze.
''Three East African countries have joined forces to implement a World Bank-funded financial project that aims to connect regional stock markets electronically. This means they can operate as a single market with a view of reducing the cost and time of trading in shares of companies listed on markets across the borders.
Uganda, Rwanda and Tanzania are set to start trading as a single market before the end of this year (2020) after interconnecting their trading systems and hooking to the EAC Capital Markets Infrastructure (CMI) Information Technology platform.''
Zungumza kuhusu Tanzania, huku Kenya wakenya wa kawaida wananunua hisa kila siku kupitia vyama na kibinafsi. Makampuni mengi Kwenye nse wanaomiliki hisa nyingi ni wakenya wa kawaida.Hivi inafahamu nani wananunua hizo shares? Waafrika bado safari ni ndefu sana.
" The EAC Capital Markets Infrastructure project is part of the World Bank’s $26.18 million project which was approved in March 2011 to lay a foundation for the financial sector integration among the EAC member states ahead of the implementation of a single currency regime whose initial 2024 deadline is a subject of review. "Sijaona mahali popote walipoongelea muungano wa kipesa.
Wacha uongo wewe exchanges zote within the region zinakuwa active when foreigners are active. Kwa hiyo ile mada yako ya kwanza umeshindwa sasa unabadili gia angani? Huo ndio wendawazimu wenyewe.Zungumza kuhusu Tanzania, huku Kenya wakenya wa kawaida wananunua hisa kila siku kupitia vyama na kibinafsi. Makampuni mengi Kwenye nse wanaomiliki hisa nyingi ni wakenya wa kawaida.
Wengine wananunua hisa kupitia investment funds kama equity funds za cyton, pension schemes na sacco.