Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

Tanzania-Rwanda: Silent war in Tanzania. Watanzania tuwe makini tusitumike bila kujijua...

shikulaushinye

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
828
Reaction score
456
Wakuu hii nimeikuta kwenye mtandao wa RWANDA hapo chini, kama unaona haina maana achana nayo.

TANZANIA-RWANDA: SILENT WAR IN TANZANIA

After Tanzania sent many Rwandan Tutsis back in Rwanda for security reasons, and after Tanzania led a war that disrupted the Hima-Tutsi Empire plans of annexing Kivu, Tutsi expansionists have adapted to new tactics. They will engage themselves in changing Tanzania governance from the smallest authority, all the way to executive power (President). As elections are closing in on Oct 25th, Agents of all kind are infiltrating Tanzania as much as they can.

In opposition the candidate himself Mr. Edward Lowassa is believed to be supported by money machinery from Rwanda and allies. He knows that fighting CCM in a fair democratic process will not be a possible task, therefore using extra capital to increase his odds will likely give him an edge. After the death of pastor Christopher MTIKILA who was very vocal against the imminent threat of Hima Tutsi Empire, his votes will be divided between CCM Candidate Mr. Magufuli and the opposition leader Mr. Lowassa.

MP Elections however can be easily influenced in western part of the country by Rwandan Tutsi involvement in local politics, and corruptions at an alarming level. To Hima-Tutsi Empire, gaining friendly seats in parliament, means power. Ability to decide on land laws in west they need badly for their cattle, later to be used as base for future invasion in Tanzania. This land with more accessible gateways to Rwanda, Uganda, and Congo will be easily in control of Tutsi spies and businessmen.

The media and opposition have already started spreading rumors that CCM will likely rig this coming elections. What we can expect next is western media support to the opposition in same manner, in order to discourage Tanzanian people to vote for CCM.

With the economy being the major issue people vote, Tanzanians should be careful, remembering that their countrys spirit of independence is at a high risk more than ever before. With globalization, and false publicity of Rwandan development, might affect their decision on what Tanzania really needs.

View attachment Dr John Bosco.docx

The Hima-Tutsi Empire has threaten to kill president Jakaya Kikwete live on Radio and TV, They have killed a leader in opposition who was very aware of the Hima-Tutsi Empires threat to the region. Now more than ever, with the help of western countries, not only CCM but the Tanzanian people are under political and social attack to weaken their unity and patriotism. Once or if they succeed, Hima Tutsi Empire will most definitely concur Tanzania, piece by piece.

Jean Paul Rugero Romeo
Ikazeiwacu.fr
 
Nilimsikia Mtikila akizungumza mpango wa Rwanda Kuivamia Tanzania kwa kutake advantage ya mgogoro wa Ziwa Nyasa, ambapo vita kati ya Malawi na Tanzania ingeibuka wangepeleka Wanajeshi na kujially Na Malawi kimyakimya.
Kuna Kitu Mtikila alikuwa anakijua ambacho pengine hatukichukulii serious!
 
Ni uchafu mtupu, acheni kuwachanganya watu na matatizo yenu. Rwanda wako busy kujenga nchi yao, sisi watanzania tuko busy kutengeneza ujinga na hadithi za chuki.

Tufanye kampeni, tarehe 25/Oktoba tukapige kura, tulinde kura zetu na mshindi apewe ushindi wake.
 
Kwani aliyeandika hii Habari ni Mtanzania? Soma kwanza uelewe ndiyo ujaribu kujibu!
 
Mwisho wa ccm umefika, angalia miti inavyoteleza. WEWE UNAFIKIRI KAMA NI KWELI NA HALI YA CCM ILIVYO TETE, GAZETI LA UHURU LINGEACHA KUANDIKA? MWAKA 1995 MLISEMA MAALIM SEIF ANAFADHILIWA NA WAARABU.
 
Jamani Watanzania tufunguke vichwa kidogo; hivi jambo zito na kubwa kama hilo lisijulikane na vyombo mahsusi vya kiintelijensia hadi aandike huyo mwandishi?!!!! Muda wa propaganda mfu umeshapita kitambo; twendeni tukapige kura Jumapili kwa mustakabali wa nchi yetu; hizo article za kutishana zimepitwa na wakati.
 
Ni uchafu mtupu, acheni kuwachanganya watu na matatizo yenu. Rwanda wako busy kujenga nchi yao, sisi watanzania tuko busy kutengeneza ujinga na hadithi za chuki.
Tufanye kampeni, tarehe 25/Oktoba tukapige kura, tulinde kura zetu na mshindi apewe ushindi wake.

Asante kaka wamekuelewa tu hapoooo
 
kama hizi habari ni za kweli na hiyo mipango ipo kweli basi mwisho wa Kagame unakaribia ni suala la muda tu.
 
Ni uchafu mtupu, acheni kuwachanganya watu na matatizo yenu. Rwanda wako busy kujenga nchi yao, sisi watanzania tuko busy kutengeneza ujinga na hadithi za chuki.
Tufanye kampeni, tarehe 25/Oktoba tukapige kura, tulinde kura zetu na mshindi apewe ushindi wake.
Wewe unalinda kura kama nani??, askari wa PAKA au?, baki huko huko kwenu Rwanda.
 
"Kuhubiri kuhusu demokrasia ni jambo moja na kusimamia demokrasia ni jambo jingine!!Kama Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tunafuatilia yale yanayoendelea Tanzania wakati ikielekea katika Uchaguzi wao Mkuu; hivyo tuna hamu ya kuona rafiki yetu na Mwenyekiti wetu anayesimamia jumuiya yetu akithibitisha kwetu namna demokrasia inavyotakiwa kusimamiwa kwa vitendo nchini Tanzania ili ajitofautishe nami ama na Nkurunzinza"...Kagame, Paul....Je unakubaliana na Paul Kagame kwa niaba ya Viongozi wenzake wa Afrika Mashariki? Unadhani Jakaya Kikwete anatakiwa kuwathibitishia namna demokrasia inavyotakiwa kutekelezwa kwa mambo gani?..Je kunaviashiri vyovyote vya demokrasia kuvunjwa chini ya Usimamizi wa Jakaya Kikwete?..Usiogope TIRIRIKA!!
 
hahahahaahhah hebu jaribu kuunganisha tu malawi na rwanda kijografia hawafikii ht mikoa mi 5 tz hyawafikii afu wajiunge watupige haingii akilinni hata kidogo acha kagame na upumbavu wake tanzania itabaki tanzania tu
 
"Kuhubiri kuhusu demokrasia ni jambo moja na kusimamia demokrasia ni jambo jingine!!Kama Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tunafuatilia yale yanayoendelea Tanzania wakati ikielekea katika Uchaguzi wao Mkuu; hivyo tuna hamu ya kuona rafiki yetu na Mwenyekiti wetu anayesimamia jumuiya yetu akithibitisha kwetu namna demokrasia inavyotakiwa kusimamiwa kwa vitendo nchini Tanzania ili ajitofautishe nami ama na Nkurunzinza"...Kagame, Paul....Je unakubaliana na Paul Kagame kwa niaba ya Viongozi wenzake wa Afrika Mashariki? Unadhani Jakaya Kikwete anatakiwa kuwathibitishia namna demokrasia inavyotakiwa kutekelezwa kwa mambo gani?..Je kunaviashiri vyovyote vya demokrasia kuvunjwa chini ya Usimamizi wa Jakaya Kikwete?..Usiogope TIRIRIKA!!

Titashinda kwa namna yoyote....tafakari hio kauli kama inaonyesha demokrasia.
 
Back
Top Bottom