Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ujinga wa kujisifusifu pasipostahili aliuasisi magufuli, sasa wengi wameshaambukizwa. Watu kama mleta mada kwa kutojua au kwa makusudi wanapotosha sana umma. Anachozungumzia mleta mada ni gross GDP (PPP/nominal). Sio kitu cha kujivunia sana. Ingekuwa GDP per Capita, sawa. (wataalam wa uchumi mlioko hapa I stand to be corrected) Ni hivi (mfano): Kuna makundi mawili A na B. Kuni A lina wanakundi 100, wana hazina ya sh. 1,000,000/=.(wkigawan Kila mmoja atapata sh. 10,000/=). Kundi Blina wana kundi 50, wana hazina ya sh. 800,000/=. (wakigawana Kila mmoja atapata sh. 16,000/=). Sasa kundi lipi ni tajiri kati ya haya makundi?. Ni dhahiri kundi B ndio tajiri zaidi.TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini
Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya kama Croatia, Lithuniam Serbia na Slovenia, hatua ambayo imerejesha imani ya wawekezaji kuendelea kuwekeza nchini.
Sasa Tanzania inashika nafasi ya 6 kati ya nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zenye uchumi mkubwa zaidi Lakini pia kwa mujibu wa IMF uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kufikia Trilioni 318 ifikapo mwaka 2028
Sasa imagine tukifika na Rais Samia Suluhu hadi 2030 Tanzania tutaongoza kwa uchumi mkubwa afrika nzima
Isije kuwa wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, je wataalamu wetu wa uchumi walikuwepo? Je wanalijua hili au na wao wanasubiri taarifa za kutengeneza kama sisi.TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini
Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya kama Croatia, Lithuniam Serbia na Slovenia, hatua ambayo imerejesha imani ya wawekezaji kuendelea kuwekeza nchini.
Sasa Tanzania inashika nafasi ya 6 kati ya nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zenye uchumi mkubwa zaidi Lakini pia kwa mujibu wa IMF uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kufikia Trilioni 318 ifikapo mwaka 2028
Sasa imagine tukifika na Rais Samia Suluhu hadi 2030 Tanzania tutaongoza kwa uchumi mkubwa afrika nzima
Nimeongelea hili katika post #4 hapo juu.Huu ujinga wa kujisifusifu pasipostahili aliuasisi magufuli, sasa wengi wameshaambukizwa. Watu kama mleta mada kwa kutojua au kwa makusudi wanapotosha sana umma. Anachozungumzia mleta mada ni gross GDP (PPP/nominal). Sio kitu cha kujivunia sana. Ingekuwa GDP per Capita, sawa. (wataalam wa uchumi mlioko hapa I stand to be corrected) Ni hivi (mfano): Kuna makundi mawili A na B. Kuni A lina wanakundi 100, wana hazina ya sh. 1,000,000/=.(wkigawan Kila mmoja atapata sh. 10,000/=). Kundi Blina wana kundi 50, wana hazina ya sh. 800,000/=. (wakigawana Kila mmoja atapata sh. 16,000/=). Sasa kundi lipi ni tajiri kati ya haya makundi?. Ni dhahiri kundi B ndio tajiri zaidi.
So, unaposema GDP ya Tz ni kubwa kuliko ya Croatia (sina hakika), lazima uangalie pia Tz ina watu wangapi na Croatia ina watu wangapi.
Mbona huo uchumi hauakisi Maisha ya watanzania?au unakua Kwa wanaccm Tu?TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini
Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya kama Croatia, Lithuniam Serbia na Slovenia, hatua ambayo imerejesha imani ya wawekezaji kuendelea kuwekeza nchini.
Sasa Tanzania inashika nafasi ya 6 kati ya nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zenye uchumi mkubwa zaidi Lakini pia kwa mujibu wa IMF uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kufikia Trilioni 318 ifikapo mwaka 2028
Sasa imagine tukifika na Rais Samia Suluhu hadi 2030 Tanzania tutaongoza kwa uchumi mkubwa afrika nzima
Hawa chawa wanaofikiri Kwa ma**lio sidhani kama wataelewa hili. Pia wajue sera nzuri za uchumi haziwezi kutoa matokeo ndani ya miaka miwili.Usiongee ukubwa wa uchumi, ukubwa wa uchumi unaweza kutokana na ukubwa wa nchi na wingi wa watu tu.
Kwa mfano, ukilinganisha nchi kama Tanzania yenye watu milioni 64 na nchi kama Croatia yenye watu milioni 4, ni rahisi nchi yenye watu milioni 64 kuwa na uchumi mkubwa, lakini, je, ukiuchukua huo uchumi mkubwa na kuugawanya kwa watu milioni 64 utapata wastani mkubwa kuliko ukiuchukua uchumi mdogo wa nchi ya Croatia ukaugawanya kwa watu milioni 4?
Mtu wa Croatia kwa wastani alijenga uchumi kwa US $ 17,685 kwa hesabu za mwaka 2021.
Mtu wa Tanzania kwa wastani alijenga uchumi kwa US $ 1,099 kwa hesabu za mwaka 2021.
Hapo sasa hata Tanzania ikiizidi Croatia kwa size ya uchumi, utasema imeizidi Croatia kiuchumi?
Ongelea GDP per capita, hapo ndipo utaona wastani wa mchango wa kila mtu katika uchumi.
Ukiongelea GDP per capita ndiyo utaona ufanisi wa uchumi.
😅😅😅😅Tuheshimiane humu ndani
Wher's the source of your info..??
TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini
Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya kama Croatia, Lithuniam Serbia na Slovenia, hatua ambayo imerejesha imani ya wawekezaji kuendelea kuwekeza nchini.
Sasa Tanzania inashika nafasi ya 6 kati ya nchi 10 za kusini mwa jangwa la Sahara zenye uchumi mkubwa zaidi Lakini pia kwa mujibu wa IMF uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kufikia Trilioni 318 ifikapo mwaka 2028
Sasa imagine tukifika na Rais Samia Suluhu hadi 2030 Tanzania tutaongoza kwa uchumi mkubwa afrika nzima
Ndugu yangu, Slovenia ina watu wachache sana 2.1Mil, idadi hii ni ndogo kuliko wakazi wa Manispaa ya Kinondoni.TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini