Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

Huu ujinga wa kujisifusifu pasipostahili aliuasisi magufuli, sasa wengi wameshaambukizwa. Watu kama mleta mada kwa kutojua au kwa makusudi wanapotosha sana umma. Anachozungumzia mleta mada ni gross GDP (PPP/nominal). Sio kitu cha kujivunia sana. Ingekuwa GDP per Capita, sawa. (wataalam wa uchumi mlioko hapa I stand to be corrected) Ni hivi (mfano): Kuna makundi mawili A na B. Kuni A lina wanakundi 100, wana hazina ya sh. 1,000,000/=.(wkigawan Kila mmoja atapata sh. 10,000/=). Kundi Blina wana kundi 50, wana hazina ya sh. 800,000/=. (wakigawana Kila mmoja atapata sh. 16,000/=). Sasa kundi lipi ni tajiri kati ya haya makundi?. Ni dhahiri kundi B ndio tajiri zaidi.
So, unaposema GDP ya Tz ni kubwa kuliko ya Croatia (sina hakika), lazima uangalie pia Tz ina watu wangapi na Croatia ina watu wangapi.
 
Isije kuwa wanatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, je wataalamu wetu wa uchumi walikuwepo? Je wanalijua hili au na wao wanasubiri taarifa za kutengeneza kama sisi.
 
Nimeongelea hili katika post #4 hapo juu.

Nimeweka mpaka GDP per capita za Croatia na Tanzania za mwaka 2021.
 
Mbona huo uchumi hauakisi Maisha ya watanzania?au unakua Kwa wanaccm Tu?
 
Hawa chawa wanaofikiri Kwa ma**lio sidhani kama wataelewa hili. Pia wajue sera nzuri za uchumi haziwezi kutoa matokeo ndani ya miaka miwili.
 
Siku ukiona wazungu wanakusifiwa mtu mweusi utakuwa umekubaliana na masharti yao hata ukiwaua wananchi wako unaweza watavaa miwani ya mbao ila ukikataa masharti yao utaitwa dikteta, inakandamizwa democrasia, nchi haina haki za binadamu,na rais ataitwa kichaa
 

Dah, Elimu ya msingi ni muhimu sana kwa nchi yetu kuhimizwa
 
Ndugu yangu, Slovenia ina watu wachache sana 2.1Mil, idadi hii ni ndogo kuliko wakazi wa Manispaa ya Kinondoni.

HDM (Human Development Index) ya Slovenia iko juu sana kuliko Tanzania.

Tupambane kujilinganisha na Kenya, Nigeria hapo tutakuwa realistic, Ila Slovenia, wametuacha mbali sana!
 
Na unaweza kukuta kuna watu wanaamini tuna uchumi mzuri kuliko wa hizo nchi za Ulaya. Na lengo la kutoa hiyo taarifa ni ili kuwahadaa wasiojua lolote kuhusu uchumi.
 
Kuna muda hawa wanaoleta mada kama wamewekewa mwiko kisa mmesikia samia anapitia humu mnasifia hata ujinga uchumi umepanda kwenye makaratasi watu biashara haziendi kipato hakiongezeki huo uchumi ni wa mama zenu au mda mwingine ili nchi ibadilike wananchi lazima tuamke unakuta anaesema uchumi umekua na kusifia imf kusema uchumi mkubwa hata mlo wa mchana unampiga chenga alafu anasifia ili aonekane kasifia nyoko zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…