Well, kama biblia inasema "siku sita fanya kazi siku ya saba pumzika..." ni kwa nini Wakristo wanaanza kupumzika siku ya sita (Jumamosi)??
Baada ya kupiga poroja na majungu!Kupumzika baada ya kufanya nini?
Only in Tanzania. Nchi ya majuha hii!
Kupumzika baada ya kufanya nini?
Mkuu, it is siku sita kufanya kazi ili kwa hiyo siku moja upumzike...Emphasis being on the day of rest not the day of work!
Pili, it tells more about rest(Rest in the Lord) si kupumzika eti kustarehe, bali being more closer to your CREATOR.
Kwa nini Wakristo wanapata siku mbili kwa wiki za kupumzika na kuabudu, Jumamosi na Jumapili, wakati Waislamu hawapati hata siku moja?Usipotoshe maandiko. Siku ya saba ni Jumamosi peke yake, Jumapili ni siku ya kwanza ya juma, soma Luka 23:54-56 na Luka 24:1 utagundua kuwa Yesu alisulubiwa Ijumaa siku ya maandalio na alifufuka Jumapili siku ya kwanza ya juma. Biblia na Quran vyote vinaitambua Sabato hebu soma Kut. 20:8-11 na Quran 2:65 uone maagizo ya Mungu. Fanyeni vyovyote vile sisi tutaendelea kuitunza Sabato hata kufa. Imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu.
Kwa nini Wakristo wanapata siku mbili kwa wiki za kupumzika na kuabudu, Jumamosi na Jumapili, wakati Waislamu hawapati hata siku moja?
kwa hiyo we ukisikia mungu kapumzika akili yako inakutuma kuwa ni kwa sababu ya uchovu
Natafuta jinsi ya kurekebisha ama kurahisisha swali langu sipati, hakuna jinsi ya ku rephrase swali langu tofauti sana.Mkuu Anheuser, nadhani bado hatujaelewana vyema.. point yako hasa ni ipi?
Unataka kusema siku ya Jumamosi naJumapili "weekend" ni mapumziko kwa wakristo na siku za kazi kwa waislamu?
Pili kusema, "waislamu hawapati hata siku moja ya kupumzika" hebu thibitisha wapi katika ofisi ya Serikali au Taasisi/Shirika/Kampuni binafsi ambapo waislamu wanakwenda siku saba za wiki kazini na wakristo wakipumzika(while waislamu) wakiwa kazini.
Kuna tofauti kati ya siku ya kuabudu na siku za mapumziko za wiki!
Anhaa, okay, basi yaishe, maana umebadili msimamo wako, mwanzoni ulisema unataka mambo yabakie hivi hivi yalivyo.Ila kama Quran nayo pia yataka kupumzika siku ya ijumaa kama itakavyo kwa siku ya Saba kwa wakristo ni vizuri tukaweka mawazo haya kikatiba mkuu.
Kwa nini Wakristo wanapata siku mbili kwa wiki za kupumzika na kuabudu, Jumamosi na Jumapili, wakati Waislamu hawapati hata siku moja?
Sawa, wanayo siku ya kupumzika, Jumamosi, lakini hawaabudu Jumamosi, hivyo hawana siku ya kupumzika na kuabudu. Wakristo wanazo mbili, Jumamosi na Jumapili, Waislamu hawana hata moja.Mkuu Waislam wanayo siku ya mapumziko ambayo ni Sabato yaani Jumamosi hebu soma Quran 2:65 linganisha na Kut. 20:8-11 na Isa. 66:22-24 neno la Mungu liko wazi, utata unatoka wapi?
Mkuu, it is siku sita kufanya kazi ili kwa hiyo siku moja upumzike...Emphasis being on the day of rest not the day of work!
Pili, it tells more about rest(Rest in the Lord) si kupumzika eti kustarehe, bali being more closer to your CREATOR.
Kwa muktadha wa neno siku sita kama lilivyotumika katika maandiko ya biblia,haikuwa maana ya siku hizi za kuzama na kuchomoza kwa jua.
Ukitaka kujua soma tena maandiko siku ya kwanza kiliumbwa nini? Alafu jiulize jua ambalo ndio kigezo cha kupata usiku na mchana lilishaumbwa?