Tanzania SGR Bridges are crazy!

Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931
Lita.....lita....lita....
 
Wasisahau na bahari kuhamisha Dodoma, Kwataarifa yako hiyo mipango ya maendeleo ya dodoma ilikuwa tangu miaka ya 80. Kila kiongozi anaechukua kijiti ana edit kwa namna yake kisha vinatiwa kapuni.
 
Unapeleka maendeleo vijijini.
kwahiyo maendeleo unayatoa mjini kisha unayapeleka mjni? unajua ilichukua miaka mingapi mjini kuwa mjini? Mjini unaweka bajeti ya bilioni 700 kwa mwaka alafu kijijini unaweka milioni 40 kisha unategemea kijijini nako kuwe kama mjini?
 
Nchi nyingi duniani zimeshafanya hii kitu.......Acha makao makuu yahamie Dodoma. Faida ni nyingi mno kuliko hasara.
Kuhama kwa serikali hakutaadhiri hadhi ya jiji la Dar hata kidogo.
 
Craaaaazy Renders....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nchi nyingi duniani zimeshafanya hii kitu.......Acha makao makuu yahamie Dodoma. Faida ni nyingi mno kuliko hasara.
Kuhama kwa serikali hakutaadhiri hadhi ya jiji la Dar hata kidogo.
Sijakataa ila nakwambia kuwa unajua hadithi hii ilianza lini? unajua kuwa miaka ya themanini nchi nzima kila kaya ilikuwa inachangishwa pesa kwaajili ya maendeleo ya CDA?
 
Kwakua safari hii wameamua kuhama kwa vitendo tujaribu kuwekana sawa ili mambo yawe mazuri, tuki anza mbona mwaka 70 ilikua hivi itakua tunapiga mark time tu.
 
Sawa!! ngoja tuone ( kwasauti ya kulalamika)
 
Hata zile tunnel za phase 2A zinajengwa na urefu wa kukubali nyaya za stima kupita juu

Hata reli ya kutoka JKIA kwenda CBD (Nairobi commuter rail) itajengwa ki hivyo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…