ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Lita.....lita....lita....Daraja litakalopita juu ya NNP ukiliangalia kwa mara ya kwanza linakaa kama floating tunnel, lakini ukilichunguza zaidi unagundua ni daraja la kawaida tu, ni vile huko juu wamelivalisha kofia ili liwe sound proof
View attachment 704931