Tanzania SGR Bridges are crazy!

Tanzania SGR Bridges are crazy!

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kaangalie na mipango iliyopo dodoma ...kwanza ile planning ya mji tu ni nzuri

Bado ringroads na reli ya mjini kati ...
Magu hakucheza fair kurekebisha ile airport sasa maana ipo town lakini bado msalato airport iliyopo nje ya mji haijawekwa pending ...

Usiiache Bandari kavu na bado sgr itapita dodoma ....Dodoma is doing just fine na ningependa lije kuwa jiji dogo lakini zuri zaidi kuliko tuliyonayo
Wasisahau na bahari kuhamisha Dodoma, Kwataarifa yako hiyo mipango ya maendeleo ya dodoma ilikuwa tangu miaka ya 80. Kila kiongozi anaechukua kijiti ana edit kwa namna yake kisha vinatiwa kapuni.
 
Unapeleka maendeleo vijijini.
kwahiyo maendeleo unayatoa mjini kisha unayapeleka mjni? unajua ilichukua miaka mingapi mjini kuwa mjini? Mjini unaweka bajeti ya bilioni 700 kwa mwaka alafu kijijini unaweka milioni 40 kisha unategemea kijijini nako kuwe kama mjini?
 
Nchi nyingi duniani zimeshafanya hii kitu.......Acha makao makuu yahamie Dodoma. Faida ni nyingi mno kuliko hasara.
Kuhama kwa serikali hakutaadhiri hadhi ya jiji la Dar hata kidogo.
 
Craaaaazy Renders....😀😀😀😀😀😀😀
 
dar "modern" small ferry
unnamed%2B(62).jpg
 
Nchi nyingi duniani zimeshafanya hii kitu.......Acha makao makuu yahamie Dodoma. Faida ni nyingi mno kuliko hasara.
Kuhama kwa serikali hakutaadhiri hadhi ya jiji la Dar hata kidogo.
Sijakataa ila nakwambia kuwa unajua hadithi hii ilianza lini? unajua kuwa miaka ya themanini nchi nzima kila kaya ilikuwa inachangishwa pesa kwaajili ya maendeleo ya CDA?
 
Sijakataa ila nakwambia kuwa unajua hadithi hii ilianza lini? unajua kuwa miaka ya themanini nchi nzima kila kaya ilikuwa inachangishwa pesa kwaajili ya maendeleo ya CDA?
Kwakua safari hii wameamua kuhama kwa vitendo tujaribu kuwekana sawa ili mambo yawe mazuri, tuki anza mbona mwaka 70 ilikua hivi itakua tunapiga mark time tu.
 
Kwakua safari hii wameamua kuhama kwa vitendo tujaribu kuwekana sawa ili mambo yawe mazuri, tuki anza mbona mwaka 70 ilikua hivi itakua tunapiga mark time tu.
Sawa!! ngoja tuone ( kwasauti ya kulalamika)
 
Hahaaa... inaonekana hiyo mitungi yenu ni noisy polluter [emoji13] kama mngengoja kidogo kaka zenu tuanze msinge fanya hiyo mistake ya ku accept train za Era ya kina Mussolini.

Hivi ile plan ku electrify bado ipo! na ikifika mtabomoa hizo kuta za juu ya daraja?
Hata zile tunnel za phase 2A zinajengwa na urefu wa kukubali nyaya za stima kupita juu

Hata reli ya kutoka JKIA kwenda CBD (Nairobi commuter rail) itajengwa ki hivyo

No title(290).jpg
No title(291).jpg
 
Back
Top Bottom