Tanzania should be kicked out of EAC

Tanzania should be kicked out of EAC

LangatKipro

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2016
Posts
359
Reaction score
438
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania.

Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?

Kenya hamna ustaarabu, kama hamruhusu Mtanzania kuingia kwenu kwanini mnalalamika ndege zenu kufungiwa kuingia Tanzania?

Mnajifanya mnaongea sana, tungekuwa na Corona kiasi hicho situngekufa au Corona ni siri?

Nyie mna mambo ya kijinga sana
 
Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya.
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Huo Ubavu hamna na hamtakuja kuwa nao.

Tanzania labda iamue yenyewe kujitoa Kenya uwezo wakuiondoa Tanzania hamna na hamtakuja kuwa nao.

Mlijua mnaogopwa mnajipa umwamba kumbe hovyo.

Mtulie Awamu hii ni moto kwa moto
 
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
 
Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1523489
Tatizo ni nini mzee, yaani mm nikukataze usije nyumbani kwangu wakati huo huo mimi kwako nakuja kwa siku mara tatu huku nikienjoy kupitapita kuanzia jikuon, sebuleni mpaka chumbani.

Wewe utakuwa mtu wa aina gani.

Hapo kila mtu ashinde mechi zake, Tanzania ni ngumu kufukuzwa EA kwasababu tuu ya kuvimbiana na Kenya ambao kimsingi ndio walioanza kuvimba.
 
Kenya walianza kukosa ustaarabu kama tatizo ni taarifa za corona wangeomba serikalini wangepatiwa. Kutotangaza taarifa za ugonjwa haimaanishi ugonjwa haufatiliwi na data hazikusanywi. Wamelikoroga walinywe.
 
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.
 
Back
Top Bottom