babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Utaandika vyote ila ujue wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.Hio nchi Basi haina muelekeo, mkuu wa mkoa hafai kuzungumzia mambo ya foreign affairs maana hata mkoa wenyewe haupo chini ya wizara ya Mambo ya nje upo chini ya office ya rais tamisemi ,mambo ya foreign policy wapi na wapi na mikoa? Au ndio kila mtu anataka kujimwambafai mwambafai ilimradi aonekane na jiwe? Nchi yenu itabaki kua kituko mbele ya ulimwengu.