Tanzania should be kicked out of EAC

Tanzania should be kicked out of EAC

Kama msimamo wa Kenya ni kuzuia ndege zinazotoka Tz kuingia nchini kwake sababu ya Corona, vipi tena Wakenya watake kupeleka ndege zao kwenye nchi yenye Corona? Hawaoni kama wata ambukizwa?

Nadhani ni muda sasa kila mmoja akae nchini kwake asubiri Corona iishe safari ziendelee, lakini haiwezi kua mzuio wa upande mmoja itakua kichekesho.
 
EA = Tanzania + Kenya + Uganda + those minority

Minority = Burundi + Rwanda + South Sudan

No EA if no Tanzania or Kenya or Uganda

Kwa maana hiyo tunategemeana sana

Tanzania na kenya zinafanya biashara kubwa sion kama mgogoro unatusaidia

Tanzania na uganda tunafanya shughuli nyingi kiuchumi sioni migogoro ikatusaidia

Tanzania inazihitaji Kenya na Uganda kwa thamani ileile Kenya na Uganda zinavyoihitaji Tanzania.

Tusiingize ujuwaji kudhalilishana kila mmoja ataumia na kupata hasara kubwa

- Kijamii
- Kiuchumi
- Kiulinzi na kiusalama

Tanzania na kenya tukaepamoja sisi ni jamaa moja.

Wanasiasa wafanye maelewano haraka na mara moja maana tunaoteseka na kuumia ni sisi raia wa East Africa.
 
Acha utoto...
mtoto ni wewe unayelilia penzi la Don Nalimison.

Nilishawahi kukuambia hapa kuwa hili swala la kuficha tatwimu nchi yetu itakua-blacklisted ukaleta maneno ya dharau.
Haya sasa leo tumeshaanza kulimwa na mataifa ya jirani.
 
We bata kweli, endelea kuogelea kwenye madibwi. EAC haiwezi ambia kitu Tanzania don't forget to remember Tz is neutral we do what is best for Tanzania and Tanzanians so level up
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
 
Wanafiki, eti mnapigania AFCTA (Muungano wa nchi zote za africa kufunguliana masoko) lakini mumeshidwa kuafikiana na ndugu zenu Tanzania kwa EAC? Hivi mnafikiria kwa hiyo AFCTA nchi za africa zipo wapole kama TZ? nchi kama nigeria, southafrica na nchi za waarabu africa mtawezana nazo kweli kama ndugu zenu ngozi nyeusi mnashidwa?
 
Wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.
Hio nchi Basi haina muelekeo , mkuu wa mkoa hafai kuzungumzia mambo ya foreign affairs maana hata mkoa wenyewe haupo chini ya wizara ya Mambo ya nje upo chini ya office ya rais tamisemi ,mambo ya foreign policy wapi na wapi na mikoa? Au ndio kila mtu anataka kujimwambafai mwambafai ilimradi aonekane na jiwe? Nchi yenu itabaki kua kituko mbele ya ulimwengu.
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Kick Tz out!? What a stupid mind! Since when did you put Tz in EAC for you to be able to kick her out! Your ill-intensions towards Tz is slowing the whole process down! Solve your local problems 1st before pointing a finger to Tz! If we agree to exclude land and labour issues out of EAC/ federation come to the table and let us move ahead!
 
Mambo ya kuruhusu watu kula Mirungi madhara yake sasa ndio haya! Maamuzi ya watu wanaokula mirungi kama mbuzi kila siku na maamuzi yao huwa hayatabiriki kabisa ha ha ha.
 
Hio nchi Basi haina muelekeo , mkuu wa mkoa hafai kuzungumzia mambo ya foreign affairs maana hata mkoa wenyewe haupo chini ya wizara ya Mambo ya nje upo chini ya office ya rais tamisemi ,mambo ya foreign policy wapi na wapi na mikoa? Au ndio kila mtu anataka kujimwambafai mwambafai ilimradi aonekane na jiwe? Nchi yenu itabaki kua kituko mbele ya ulimwengu.
Wewe hujitambui, hivyo kaa kimya!
 
Inashangaza sana, "great thinkers" badala ya kuangalia namna nzuri ya kuzisaidia nchi hizi masikini (japo tunajigamba kuwa tupo uchumi wa kati) tupo hapa kupigana vijembe na kufuata mkumbo wa wanasiasa waliofilisika kisiasa. Ukweli utabaki pale pale, Kenya na Tanzania zinategemeana sana na hakuna East Africa pasipo Tanzania au Kenya, vinginevyo ni kujidanganya...
Uko sawa mkuu.
 
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Hivi mwanadiplomasia ni nani vile kwa akili zako😂🤣😂!
 
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Ndio katuwakilisha huko bado, humpendi ww jitundike🤣😂🤣!
 
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?

Msitufokee.......who do you think you are by the way......?.....
Yaani nyie mtufungie....... mtegemee sie tuwafungulie......are you mad.....?
Au mmepandwa na covid kichwani......?....
So kukataa msiingie kwetu ndio mtutoe EAC......?
Mna ubinafsi sana na tumewachoka.......tutaelewana tu badae......subirini dawa iwakolee.....
 
Back
Top Bottom