LangatKipro
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 359
- 438
Kwani unadhani kutengwa kuna husiana na majengo?Makao makuu ya EAC yapo Arusha Tanzania
We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Huo Ubavu hamna na hamtakuja kuwa nao.We have mutual understanding among the EAC nations such as Uganda, Rwanda, Burundi and Tanzania and we would have achieved a lot including even a political federation if it were not for Tanzania. Don't you think its the time to kick Tanzania out of EAC just like USA and other countries did for Russia out of G8?
Endeleeni kuota. Yaani mfungie Watanzania Tukae kimya. Huo ujinga noTanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1523489
Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Basi Mshauri Kenyatta Aamue kama RahisiKwani unadhani kutengwa kuna husiana na majengo?
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.Kama Taifa tunapaswa kujitafakari mtu kama Kabudi sio mwanadiplomasia bali ni mchekeshaji wa mfalme ndiyo maana nchi yetu inaonekaka kituko mbele ya jamii za kimataifa.
Daud kwenye suala la covid nakushangaa. Hamia Kenya, tuache na maisha yetuKwani unadhani kutengwa kuna husiana na majengo?
Tatizo ni nini mzee, yaani mm nikukataze usije nyumbani kwangu wakati huo huo mimi kwako nakuja kwa siku mara tatu huku nikienjoy kupitapita kuanzia jikuon, sebuleni mpaka chumbani.Tanzania kwa sasa ni kichwa cha mwendawazimu!View attachment 1523489
Wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.