Tanzania should be kicked out of EAC

Utaandika vyote ila ujue wakuu wa mikoa ndio level yenu na ndio maana wao ndio wanawajibu.
 
Possibly yes if justify your proposal with evidence, provided that Covid19 factors remain constant .
Test of your argument must include other member states.
 
Kaka katika mazingira haya ambapo Kenya imeakua na tabia ya kujiamulia mambo yenye maslahi kwa majirani zake bila kuwashirikisha, unapendekeza Tanzania ifanyeje?
 
Wafanye haraka nauhakika Congo tukikaa nao vzr Kuna fursa kubwa kuliko huko .Harafu wasitegemee wanaweza kujenga ushawishi kwa nchi zingine sk zote ipo sk wataelewa vzr na watafanya linalofaa kwao
 

Kenya is the one doesn’t want Tanzania therefore, Kenya should withdraw themselves
 
Tunatabiri tukifika huko.

Ukiangalia juu juu utaona wakenya wanatuzidi but ndani kabisa tunawazidi vingi sema hatuna umoja imara

Wanatuzidi nini.......?.....
 
Tunatabiri tukifika huko.

Ukiangalia juu juu utaona wakenya wanatuzidi but ndani kabisa tunawazidi vingi sema hatuna umoja imara
bado kila pande inamuhutaji mwenzake regardless ya hayo tunayozidiana.
 
Kuna kitu nashindwa kwelewa Tanzania Hadi mkuu wa mkoa anataka atunushane misuli na mataifa mengine Tena anazungumza kwa mihemko, kwani wizara ya Mambo ya nje kazi yake ni ipi ? Kama wakuu wa mikoa wakati mwengine ndio wanatoa kauli za ajabu ajabu.
Mkuu wa mkoa anawakilisha rais katika eneo Lake husika, kabla hajazungumza huwa anazungumza na rais, hivyo kauli za mkuu wa mkoa ni kauli za rais. Kuna mambo ambayo huitaji wizara kuyasemea, ni mambo madogo lazima tuwape uwezo wakuu wa mikoa kuyashughulikia
 
mtoto ni wewe unayelilia penzi la Don Nalimison.

Nilishawahi kukuambia hapa kuwa hili swala la kuficha tatwimu nchi yetu itakua-blacklisted ukaleta maneno ya dharau.
Haya sasa leo tumeshaanza kulimwa na mataifa ya jirani.
Hujitambui na takwimu zako.
 
Kaka katika mazingira haya ambapo Kenya imeakua na tabia ya kujiamulia mambo yenye maslahi kwa majirani zake bila kuwashirikisha, unapendekeza Tanzania ifanyeje?
Ukweli (japo sipendezwi na huu ugomvi wa majirani) JPM amefanikiwa kutegua mtego mbaya sana aliowekewa na UK. UK alitawangazia wananchi wake kuwa wasijilinganishe na Tanzania inayoficha takwimu kesho yake akatuma wajumbe wake kuja kwenye msiba wa BWM. Hii maana yake baada ya kurudi Kenya wangepimwa na kugundulika wana maambukizi (mtego wa kutaka kuonesha alichokisema kilikuwa na maana) lakini JPM akaugutukia mchezo huo.

Baada ya kuona hila yao imeshtukiwa kaamua (kwa hasira) kuiondoa Tanzania kwenye nchi ambazo raia wake wanatakiwa kuingia Kenya, lakini cha ajabu eti ndege zake (KQ) zingeingia Tanzania! Nadhani JPM kamkumbusha tu kuwa hata KQ zisije.

All in all, sisi ni majirani, tungeweza kutafuta njia nzuri zaidi kutatua mgogoro huu badala ya kutunishia msuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…