Wacha bangi. Nimeskia iko kwa wingi sana huko Tanzania.
Kenedi acha ubishi wewe kiazi.....
Ukichukua idadi ya waTZ ukigawanya na idadi ya wavuta bangi wa TZ unapata 15.
Ukichukua idada ya waKE ukagawanya kwa idadi ya wavuta bangi wa KE unapata 15.
Tumelingana kwa density,acha bangi wewe!
Mpesa is a service. It has employees, servers, software, marketing teams etc.. Majority of them are in Kenya already. Mpaka server zake ziko Kenya.
Unachosema wewe ni uongo.....
Article imesema wamenunua Intelectual Property tu na sio mzigo wote huo hadi wafanyakazi..
Na hiyo ni kweli maana huwezi kununua package nzima namna kwa 13mil USD ambayo ni hela ndogo mno kwa evaluation..
Ulivyo huna akili unataka kuniambia evalution ya thamani ya Mpesa ya Safaricom nchini Kenya ni 13milUSD tu?
Utakua na kichaa aisee!
Na Mpesa ya dunia nzima haipo Safaricom ya Kenya,
Kilichopo Kenya ni Mpesa ya Kenya tu.....
Walichonunua Safaricom huko Vodafone ni IP ya Mpesa tu.....
Ni kama vile Facebook ilinunua Whatsapp. Previous owners stopped having anything to do with Whatsapp.
Acha upumbavu wewe
Hiyo ni total Acquisition na sio kununua IP kama wanavyofanya Safaricom.
Kununua IP maana ni kununua intellectual rights za concept nzima ya Mpesa and its likeness....
Hapo wamenunua ubongo/maneno tu labda sana sana source codes...hawajanunua physical tangible installed assets!
Kame hio imekushinda kuelewa, rudi shule.
Siwezi rudi shule ndugu yangu wa Murang'a...
Huko nilishapita siku nyingi na nilipata marks za kutosheleza kabisa!
Wewe ndio urudi shule ujifunze fundamentals za biashara!
Hii si kuuza chang'aa mzee mwenzangu!