Tanzania should push to be part of this Mpesa deal

Hawa watu hunishtua sana, payuka payuka tu bila logical thought process.
 
Sijatumia Remit bado mate, tatizo si watu wengi nyumbani wenye line ya vodacom hasa wale wanaohitaji $20-30 za mboga.
Kikubwa zinawafikia ndio muhimu
Voda Tigo wote wapo vizuri
Imekuwa msaada mkubwa sana kusaidia wapendwa
 

Wacha bangi. Nimeskia iko kwa wingi sana huko Tanzania.

Mpesa is a service. It has employees, servers, software, marketing teams etc.. Majority of them are in Kenya already. Mpaka server zake ziko Kenya.

Vodafone is selling that to Safaricom and Vodacom SA. After the sale, everything about Mpesa will be co-ordinated by Safaricom. Vodafone haitakuwa na lolote kuhusu Mpesa.

Ni kama vile Facebook ilinunua Whatsapp. Previous owners stopped having anything to do with Whatsapp.

Kame hio imekushinda kuelewa, rudi shule.
 
Wacha upumbavu! Sio nyie mmeanza kulilia Managing Director awe mkenya baada ya kuona replacement ya Collymore on the way!

There is a board of governors.
GOK iko na representatives kwa hio board, na kazi yao ni kupeleka interest za serikali kwa hio board.

However, the final decision itafanywa ndani ya hio board, most likely through a vote.
Vodafone haina controlling vote, so they'll have to campaign for their candidate just like GOK.
 

Kumbe wewe jamaa ni Kilaza hivi?
 
Wacha bangi. Nimeskia iko kwa wingi sana huko Tanzania.
Kenedi acha ubishi wewe kiazi.....

Ukichukua idadi ya waTZ ukigawanya na idadi ya wavuta bangi wa TZ unapata 15.

Ukichukua idada ya waKE ukagawanya kwa idadi ya wavuta bangi wa KE unapata 15.

Tumelingana kwa density,acha bangi wewe!

Mpesa is a service. It has employees, servers, software, marketing teams etc.. Majority of them are in Kenya already. Mpaka server zake ziko Kenya.
Unachosema wewe ni uongo.....

Article imesema wamenunua Intelectual Property tu na sio mzigo wote huo hadi wafanyakazi..

Na hiyo ni kweli maana huwezi kununua package nzima namna kwa 13mil USD ambayo ni hela ndogo mno kwa evaluation..

Ulivyo huna akili unataka kuniambia evalution ya thamani ya Mpesa ya Safaricom nchini Kenya ni 13milUSD tu?

Utakua na kichaa aisee!

Na Mpesa ya dunia nzima haipo Safaricom ya Kenya,

Kilichopo Kenya ni Mpesa ya Kenya tu.....

Walichonunua Safaricom huko Vodafone ni IP ya Mpesa tu.....

Ni kama vile Facebook ilinunua Whatsapp. Previous owners stopped having anything to do with Whatsapp.
Acha upumbavu wewe

Hiyo ni total Acquisition na sio kununua IP kama wanavyofanya Safaricom.

Kununua IP maana ni kununua intellectual rights za concept nzima ya Mpesa and its likeness....

Hapo wamenunua ubongo/maneno tu labda sana sana source codes...hawajanunua physical tangible installed assets!
Kame hio imekushinda kuelewa, rudi shule.
Siwezi rudi shule ndugu yangu wa Murang'a...

Huko nilishapita siku nyingi na nilipata marks za kutosheleza kabisa!

Wewe ndio urudi shule ujifunze fundamentals za biashara!

Hii si kuuza chang'aa mzee mwenzangu!
 
Kenedi acha ubishi wewe kiazi.....

Ukichukua idadi ya waTZ ukigawanya na idadi ya wavuta bangi wa TZ unapata 15.

Ukichukua idada ya waKE ukagawanya kwa idadi ya wavuta bangi wa KE unapata 15.

Tumelingana kwa density,acha bangi wewe!

Mnaongoza kwa 'consumption per capita'.
Yaani nchi maskini ambayo inakula bangi kama sukuma.

 

Wewe kweli kizungu kimekupa chenga.
It's clear I'm talking with a wannabe amateur, who doesn't even know the meaning of IP.

Mpesa is an intangible thing. Kumaanisha sio kitu unachoweza kuguza.
The only way it can change from one owner to the other, is through the sale of its IP rights.

Patents, copyrights, trademarks, software etc. Zote zinaenda mikononi mwa Safaricom.

Swali la bei, hilo enda ukaulize Vodafone. If you think $13 million is too cheap for them, go pick a fight with them.

Mwishowe wacha nikuelimishe.

Chenye unaongea kuhusu, sio Intellectual Property rights. Ni Distribution Rights.

Kama Safaricom ingekuwa inapewa za Kenya pekee, hio ni distribution rights.

Wacha nikupe example.

When Disney makes a movie, wanaweza uzia Netflix distribution rights. Lakini hawajauzia Netflix IP rights.
All the trademarks, copyright etc belongs to Disney.

Ama, when Google allows mobile makers to use Android, hawajawauzia IP rights.
 
Kenyans are richer, yet consume less bhang.
Tanzanians are poorer, yet consume more bhang.

Tupo sawa kivipi tena?
Hv kuna mtu hata mmoja huko Kenya anaetambulika na Forbes hv kwa pesa ndefu??? [emoji23] [emoji23] kwa kupiga kelele tu hamjambo, ila ni Kapuku daraja la kwanza
 
Hv kuna mtu hata mmoja huko Kenya anaetambulika na Forbes hv kwa pesa ndefu??? [emoji23] [emoji23] kwa kupiga kelele tu hamjambo, ila ni Kapuku daraja la kwanza

Hio Forbes unayoongea kuhusu, waandishi wao wengi wako hapa Nairobi.

Wanapata news material hapa Kenya kila mwezi kujaza magazine yao, kwa sababu hatuna tajiri mmoja na maskini milioni 60.
 
Hio Forbes unayoongea kuhusu, waandishi wao wengi wako hapa Nairobi.

Wanapata news material hapa Kenya kila mwezi kujaza magazine yao, kwa sababu hatuna tajiri mmoja na maskini milioni 60.
Kwamba unadhan ni mtanzania mmoja yuko huko?? more than ten.. hiyo inakupa tafsiri gani??

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna mwenye pesa anae piga kelele kua nina pesa... hiyo ndio tofaut kati ya Tanzania na Kenya, Kapuku Nation [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: Oii

Kwanini media ambayo ni global yoyote ikataka kufanya interview na watanzania, wanatuma maripota wao kutoka ofisi za Kenya?
Kwanini wasifungue ofisi Tanzania?

You are not news worthy. 60 million poor peasants don't make news.
 
Mtapiga kelele lakini JPM hawezi kubali mpesa imilikiwe na kenya tena ifanye biashara tanzania.
Vodacom watanyang'anywa leseni ya kutuma pesa ibidi watafute mfumo mwingine..
JPM mzalendo mfia nchi, kamwe hawezi changanya mifumo ya fedha na nchi iliyojaa dhahabu na madollar feki..Hata kama vodacom itakufa haijalishi, GoT ipo na 49% hisa Airtel..
 
All in all sijaona sababu ya argument zote hizi. Ikiwa Vodafone ndio ina subsidiaries zote kama Vodacom SA, Safaricom na Vodacom Tanzania.

Ndio wanakuja na M-Pesa Global kwa Pamoja kuondokana na adha za uendeshaji.
 
Wabongo bana, ubishi mwingiii, wakati wakenya tukianza kutumia M-Pesa bado mlikuwa mnatuma hela kwenye basi za Tawfiq na Dolphin. πŸ˜€ Respect your elders!
 
Bla bla nyingi,umegeuka CEO wa safaricom?..eeh!
Matz uswahili mingi bla bla bla uongo na upumbavu full blast.
Hamna jinsi, ungalikua mwerevu VODACOM TZ wangelikuchukua kam CEO ama hata mtz mmoja tu.
Ila tulishuhudia mkenya akiteuliwa kwa wivu wenyu wa kitoto mkamkataa mkaishia kupewa Mmisri mjanja.
Nyie ni ngombe wanaofugwa katika zizi la CCM ,kiranja ni M..gfool
Fuckin dictatorship country, hamna jinsi mbele ya Kenya.
Nyote pamoja na dictatorship swahiba wenyu Uganda na Burundi na takataka nyengine humu Afrika ya Mashariki.
Over.
 

Waoh, The bitter kenyan whore is back, I thought u dead. Karibu tena mwanamama.
 
Bro

Your Kiswahili is in ICU aisee!

Wewe unaishije EA halafu hujui Kiswahili kiasi hiki?

Kiingereza fasaha hujui,Kiswahili fasaha hujui,Kikuyu fasaha pia hujui..Hivi wewe utakua mgeni wa nani?

mingi=mwingi
kam=kama
hats=hata
wenyu=wenu
ngombe=ng'ombe
mwereve=mwerevu


Mkuu,naona hujajibu chochote nilichokiongea kwenye comment yangu...

Umeishia kusifia CEO wa Safaricom na kutukana waTZ wote,ambapo inaonesha jinsi gani ulivyo mvivu kufikiri mpaka kukimbilia generalization ya namna hiyo.

Sijui umetumia kigezo gani kujua Bob Collymore ana akili zangu kivipi?

Na pia usisifie sana,Bob kwanza sio Mkenya....Kenya mmekosa wa kuendesha Safaricom mpaka mmeita M-carribean kuwasaidia!

Kingine,punguza matusi,kama unataka matusi sema,sio unaibuka kwenye woodworks with hit quitters....Kama ni matusi I will not snap at'chu,I will go for your throats!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…