Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

serikali inahitaji kutumia hata pesa nyingi tu kukomboa hawa watu kifikra na kielimu, wapo nyuma sana. na hiyo sio ancestral home yao, walitoka serengeti hawa, hapo sio kwao. pia, yaani rundo la wanadamu hao kweli waishi na wanyama? kweli? halafu wakilisha mimea yote kiaisha hapo ngorongoro si watahama kwenda kutafuta malisho sehemu nyingine? wakati huo wanama pori nao watakuwa hawana majani, watakufa kama mangómbe yao yanavyokufa sasaivi maeneo yasiyo na malisho. huu ni ujinga ambao serikali haitakiwi kuuvumilia ili kulinda mbuga.
Mbona hawakuhama miaka yote mpaka wewe umeikuta hiyo land ikiwa na wanyama tofauti na unapoishi wewe? Acheni hizo!
 
Haya mambo ya nchi yanavyokwenda kwa kasi utafikiri tamthilia fulani hivi...Daah Mungu saidia nchi yangu!
Baada ya WW2 Wayahudi walianza kununua maeneo huko M.E kidogo kidogo mwishowe wakajitengenezea nchi.
Sasa waarabu wanataka kufanya hivyo Bongoland.
 
Kuna matukio mengi tu yanayofanyika awamu hii yanaibua hilo jina kwa nini ??
Nimeshangazwa na kauli ya Majaliwa aliposema serikali itatoa fidia kwa watakaokubali kuhama kwa hiari yao, nikajiuliza kwa hiyo wakigoma wataondolewa kwa nguvu?

Naona wameshaanza kuchezea akili za wamasai.
 
Inatumika akili kubwa sana kuwaondoa.

Ila namna mambo yalivyo swala la kuwaondoa lilishaamuliwa

Kilichobakia ni utekelezaji wake tu.

Ila namna ya kuexecute plan ndio inakua tatizo kutokana na resistance ya kelele za wadau.

Mwisho wa siku wataondolewa na Mwarabu atachukua eneo.
 
Kwa kuwa waarabu wanaudugu na wazanzibar bora wapewe eneo kule visiwani sio kuwatesa wamasai kwenye nchi yao
Loliondo iliuzwa kwa waarabu kinyemela na ngororongoro wanataka waipige mnada ?
Wamasai na waarabu wote hao ni ndugu,angalia mavazi yao,mashuka shuka,sime(jambia),fimbo(,bakora),ngoma zao za kuruka ruka,lugha zao zinafanana,wanatumia sana kusema kwa kooni,na kutumia kha,Gha.Na pia wote ni wachungaji sio wakulima,na chakula Chao kikuu wote ni nyama na maziwa.Na wote ni watu wa kuhama hama,hawakai sehemu moja mda mrefu.Wake zao wanavyaa mabangili ya rangi rangi,na maushanga.
A
 
Hiyo habari niliiona mkuu nikataka kuleta bandiko kuiomba serikali iclarify hizi rumours.

Wakati wa Mwinyi tulishuhudia OBC wakipewa loliondo.

Sasa hili tena nalo linaumiza zaidi.
Na hatujaona faida yoyote ya hao waarabu, kule Zanzibar wametoa visiwa vyote kwa wawekezaji sasa wamehamia huku kuwasumbua wamasai wenye ardhi yao, hapo ndipo namkumbuka Magu, huwezi ukawadhalilisha watu wako kwa ajili eti ya uwekezaji,uwekezaji gani huu usiojali wananchi? naanza kuhisi sababu ya Lukuvi kuondolewa na kupewa nafasi mwana wa mwenye nchi.
 
There is no justification at all kumpa kipaumbele mgeni mbele ya mzawa.

To hell na uwekezaji wao.

Wamasai ni watanzania wana haki ya kwanza dhidi ya mgeni yeyote.

Serikali inapaswa kuwalinda wananchi wake na sio kuwakandamiza kisa hawana nguvu za kuretaliate.

Ila haya mambo huwa yana mwisho wake.
 
Natambua wengi wetu tunaanza kuutambua uzalendo wa JPM kwa rasilimali za nchi yetu.

Wengi wetu tunaanza pia kutambua kauli zake kuhusu nchi hii inaibiwa sana rasilimali zake kwa ajili ya maslahi ya watu fulani.

Wengi wetu hivi sasa tunatambua ubaya wa "one man show" pale panapotokea mabadiliko katika uongozi wa juu wa taifa letu.

Wengi wetu hapa ndipo tunatambua nchi inapaswa kujengwa katika misingi imara iliyowekwa kikatiba, katiba ambayo itawafanya viongozi wawajibike endapo itakapo thibitika kuwa walifanya madudu kwa ajili ya maslahi yao binafsi na hatimaye kuliingizia taifa letu hasara kubwa.
Raisi amepewa mamlaka makubwa mno hasa kwenye ardhi, hii inanikumbusha mzee Ruksa na aliyekuwa meya wa darisalama KK walivyokuwa wanajimilikisha viwanja na kuwauzia matajiri wa kiarabu na kihindi maeneo kibao, pale Gymkhana, palipojengwa Serena hotel, hadi karibu na Ikulu , ilibidi wanachi wavunje uzio wa mabati kule ufukweni na maeneo ya Anatoglu
 
Km mnawapenda waarabu wapeni zanzibar wawatawale hao ni ndugu zenu
Wamasai na waarabu wote hao ni ndugu,angalia mavazi yao,mashuka shuka,sime(jambia),fimbo(,bakora),ngoma zao za kuruka ruka,lugha zao zinafanana,wanatumia sana kusema kwa kooni,na kutumia kha,Gha.Na pia wote ni wachungaji sio wakulima,na chakula Chao kikuu wote ni nyama na maziwa.Na wote ni watu wa kuhama hama,hawakai sehemu moja mda mrefu.Wake zao wanavyaa mabangili ya rangi rangi,na maushanga.
A
 
Inatumika akili kubwa sana kuwaondoa.

Ila namna mambo yalivyo swala la kuwaondoa lilishaamuliwa

Kilichobakia ni utekelezaji wake tu.

Ila namna ya kuexecute plan ndio inakua tatizo kutokana na resistance ya kelele za wadau.

Mwisho wa siku wataondolewa na Mwarabu atachukua eneo.
Wakijaribu kutumia nguvu kuwaondoa wamasai ndio watajivua nguo kabisa, na dhamiri zao mbovu kwa watanzania zitaonekana wazi.
 
Wamasai kama walivyo binadamu wengine ni wanyama pia.
Wameishi na jamii nyingine za wanyama kwa maelfu ya miaka.
Tuwaache waishi Ngorongoro na wanyama wengine ili kuipamba ekolojia.
waishi ngorongoro ili wakiharibu ile mbuga utapata wapi ngorongoro nyingine?
 
Wakijaribu kutumia nguvu kuwaondoa wamasai ndio watajivua nguo kabisa, na dhamiri zao mbovu kwa watanzania zitaonekana wazi.
Busara inapaswa kutumika kuliko nguvu.

Wakitumia nguvu kuna hatari ya kuharibu sekta nzima ya Utalii maana watalii hawatataka tena kuja mahali ambapo haki za binadamu zinavunjwa.

Mfano mdogo tu wa kauli ya Makonda na mashoga, kilichotokea sote tumeona.

Hapa serikali imetegwa.

Na kuna hatari maadui zetu kuitumia hii nafasi kama tukikosea kwa kuchafua sura nzima ya utalii hapa nchini.

Tunaweza mpa mwarabu ardhi lakini tukaua sekta nzima ya utalii trust me.
 
There is no justification at all kumpa kipaumbele mgeni mbele ya mzawa.

To hell na uwekezaji wao.

Wamasai ni watanzania wana haki ya kwanza dhidi ya mgeni yeyote.

Serikali inapaswa kuwalinda wananchi wake na sio kuwakandamiza kisa hawana nguvu za kuretaliate.

Ila haya mambo huwa yana mwisho wake.
Na nina wasiwasi huu uwekezaji kuna mtu ana ka asilimia kumi kake na ni wale wale Wahuni gang! mara tunawasikia bandari ya Bagamoyo ,yaani kila mradi ni wao sasa hata bwawa la umeme la Nyerere wameliacha wameenda kwenye gas yao.
 
Mambo ya kusikitisha na kustaabisha.

Anyways Mungu ana mipango yake katika kila jambo.

Kuna shule tunapitia kama Taifa.
 
Back
Top Bottom