Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Serikali imetegwa.Mama anaupiga mwingi 😂😂😂
Wakiwaondoa kwa nguvu tu.
Maadui zetu watachafua image ya nchi na tutawapoteza watalii.
Watalii wako sensitive sana na mambo kama hayo ya haki za binadamu na mengineyo kama hayo.