serikali inahitaji kutumia hata pesa nyingi tu kukomboa hawa watu kifikra na kielimu, wapo nyuma sana. na hiyo sio ancestral home yao, walitoka serengeti hawa, hapo sio kwao. pia, yaani rundo la wanadamu hao kweli waishi na wanyama? kweli? halafu wakilisha mimea yote kiaisha hapo ngorongoro si watahama kwenda kutafuta malisho sehemu nyingine? wakati huo wanama pori nao watakuwa hawana majani, watakufa kama mangómbe yao yanavyokufa sasaivi maeneo yasiyo na malisho. huu ni ujinga ambao serikali haitakiwi kuuvumilia ili kulinda mbuga.