Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

At fisrt nilikua namheshimu sana PM Majaliwa ila namna anavyo handle hii ishu nimepoteza imani nae kabisa.

Serikali inapaswa iwalinde wananchi wake na sio kuchukua nafasi ya mabeberu.
Mtu yeyote aliyeiba kura kwa kuteka kila aliyempinga ulipata wapi ujasiri wa kumuamini ?
 
Hiyo habari niliiona mkuu nikataka kuleta bandiko kuiomba serikali iclarify hizi rumours.

Wakati wa Mwinyi tulishuhudia OBC wakipewa loliondo.

Sasa hili tena nalo linaumiza zaidi.

Is it a coincidence kuwa ni wakati wa Utawala wa Mwinyi, Kikwete na sasa Samia maliasili za nchi ndiyo zinauzwa kwa waarabu? Mbona hayo mambo hayakuwepo enzi za Nyerere, Mkapa na Magufuli? Sababu zinazotolewa za kutaka kuwahamisha wamasai na kuwapa hao waarabu wa OBC hazizingatii maslahi ya nchi na hazina ukweli!! Hakuna kabila wanatunza mazingira kama wamasai; huwezi kuwafananisha na wasukuma ambao popote wanapopita na mifugo yao wanakata kata miti hovyo!!
 
Pure lies

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Utafutwe utaratibu wa Kucontrol Population yao hapo hifadhini ila sio kuwaondoa Completely iyo italeta tension zisizo na Tija na hazitakuwa na afya kwa taifa letu ukizingatia izo rumors zinazoeleza kuwa wanataka kulease ilo eneo kwa Arabs for trophy hunting na Elite Tourism, Hawa wamasai ni kudeal nao kwa umakini sana sana
 
Msukuma ni mkulima na mfugaji, masai ni mfigaji tu
 
Msukuma ni mkulima na mfugaji, masai ni mfigaji tu
Kuwa wakulima na wafugaji ndio sababu ya kuzunguka na mifugo huku wakiangamiza miti na misitu? Hawa ndio wanaotakiwa kuthibitiwa na kuelimishwa jinsi ya ufugaji bora na jinsi ya kutunza mazingira!!
 
Hiyo habari niliiona mkuu nikataka kuleta bandiko kuiomba serikali iclarify hizi rumours.

Wakati wa Mwinyi tulishuhudia OBC wakipewa loliondo.

Sasa hili tena nalo linaumiza zaidi.
Hawa Wazanzibari wamesha tuona Tanganyika hatuna akili. Kwanini wasi jiuze wao kule Zanzibar?
 
Hiyo habari niliiona mkuu nikataka kuleta bandiko kuiomba serikali iclarify hizi rumours.

Wakati wa Mwinyi tulishuhudia OBC wakipewa loliondo.

Sasa hili tena nalo linaumiza zaidi.
Kwahiyo kila akija rais wa upande ule wa pili basi kazi yao ni kuuza nchi kwa waarabu tu, si ndio? Kwanini wasiuze stone town waarabu wawinde njiwa huko?!
 
Haya mmeyagundua leo baada ya kupewa pesa na OBC? Au imekuaje?
 
..
Evicted residents from Loliondo will be relocated to the neighboring Ngorongoro Conservation Area (NCA), where they will join another 80,000 evicted Maasai to share a strip of land designated for humans and wildlife.

..
Hivi umeelewa vizuri hiyo habari? Au kiingereza kimekupiga chenga?
..
.
 
Uzuri wake ni wepesi sana kupiga siasa kuliko kudeal na fact... Hivi ni lazima Masai wakae eneo hilo na Ngorongoro ife?... Mbona binafsi naona kuna option nyingi za kuhamisha masai hapo kuliko kuacha Ngorongoro ife..
 
kama tumeweza kuhamisha watu maeneo yenye madini na madini yanachimbwa tunashindwaje kuhamisha Masai na biashara nyingine zikaendelea hapo?.. Cha msingi walipwe fidia nzuri na wasaidiwe kuhama kwa utaratibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…