Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

Kwa kuwa waarabu wanaudugu na wazanzibar bora wapewe eneo kule visiwani sio kuwatesa wamasai kwenye nchi yao

Loliondo iliuzwa kwa waarabu kinyemela na ngororongoro wanataka waipige mnada ?

Co wazanzibar tu, waarabu wako closed sana na watu weusi,,tumeishinao karne na karne hapa ivyo hawana rabu,,,acha roho mbaya. Alafu wewe vi2 viwili vinakusumbuwa kichwani 1 udini 2 waarabu. Hivi walikukosea nini hawa wa2!!! Ebu jitathmini upya!
 

Acha waarabu wapewe, hawa ni ndugu wa damu tumeishinao hapa karne na karne, hata huko kwao uarabuni wako waafrika kibao wanakula bata. Angelikuwa mzungu au mhindi hapo sawa tunahaki ya kulalamika,,lakini kwa waarabu wacha wapewe tu.
 
At fisrt nilikua namheshimu sana PM Majaliwa ila namna anavyo handle hii ishu nimepoteza imani nae kabisa.

Serikali inapaswa iwalinde wananchi wake na sio kuchukua nafasi ya mabeberu.

Tanzania ni kubwa bwana,,,wafafutiwe maeneo wakaishi,,,
 
Ni kweli watanzania hawana mtetezi nchi yao inapigwa mnada kwa waarabu sijui nani atatukomboa

Wewe jamaa huwa hulali ucku unawawaza tuu waarabu!! Walikufanya nini?? Hivi inaingia akilini nchi ipigwe mnada!!! Wewe ni mtu mzima lakini maneno haya hata mtoto mdogo hawezi kuyatamka.

Ni bora wapewe waarabu kuliko mzungu, mhindi, msouth au mkenya. Hawa watu tumeishinao vizuli acha wapewe.

Alafu uache roho mbaya mzee utakufa utaacha kila ki2.
 
Wamasai kama walivyo binadamu wengine ni wanyama pia.

Wameishi na jamii nyingine za wanyama kwa maelfu ya miaka.

Tuwaache waishi Ngorongoro na wanyama wengine ili kuipamba ekolojia.

Hakuna cha ekolojia wala nini mzee,,,acha wapelekwe serengeti na huko kuna wanyama pia. Alafu acheni kumpangia uyu mama.
 

Mama ni mama tuu,,,najivunia sana
 
kama tumeweza kuhamisha watu maeneo yenye madini na madini yanachimbwa tunashindwaje kuhamisha Masai na biashara nyingine zikaendelea hapo?.. Cha msingi walipwe fidia nzuri na wasaidiwe kuhama kwa utaratibu..

Upo sahihi kabisa,,,lakini wengine nimefuatiria comments zao ni chiki tuu.
 
Colonialism enriched Europe, so it's no wonder that there is still a section of people that favours it.

How can anybody, in his/her right mind, even dream of continuing to keep people in bondage, in the 21st Century?

This, so called 'Agreement' between the British and Masai Elders banned the Masai from 'Owning Land', 'Building Decent Houses', and all amenities that are a pinnacle of Civilisation, and Iam appalled that there are Tanzanians who are in support of this "Inhumane agreement'.

We have been told, time and again, that close to 70% of the Children in Ngorongoro do not go to School.

In the 21st Century!

When the World is talking about the 4th Industrial Revolution!

Children not going to School!

This is keeping people in bondage.

And it is very shameful.

Pastoralists of Masai, Sukuma, Barbaig, and other origins are thriving in several regions in Tanzania, notably Morogoro, Tanga, Coast and Lindi Regions.

They do not live on handouts as their counterparts in Ngorongoro.

Why do we have people insisting to keep the Ngorongoro Pastoralists in bondage?

Keeping them by donated handouts!

Is it for personal and selfish gains?
 
Kuwa wakulima na wafugaji ndio sababu ya kuzunguka na mifugo huku wakiangamiza miti na misitu? Hawa ndio wanaotakiwa kuthibitiwa na kuelimishwa jinsi ya ufugaji bora na jinsi ya kutunza mazingira!!
Huo ufugaji bora ni upi? So far duniani wao ndiyo wafugaji bora...usipotoshe ndugu mpendwa...Ufugaji unaouita bora ndiyo ambao kwa sasa unaongoza kwakukata miti duniani, ndiyo ambao unazalisha hewa ya ukaa ambayo ni zaidi ya ile inayotolewa na magari yote duniani...Kuuliza si ujinga!
 
Are they kept or they agreed and are still agreeing to stay in that form? Who told you what you have written is civilisation? I think you are enslaved mentally thats why you see them in bondage yet its you who is to be sympathized with such kind of mentality...

Those are amongst the few who were not enslaved by the colonialists in such extent today we enjoy to have Ngorongoro and the like still in their pristine nature...They are good stewards to our environment; we have to emulate them instead of calling them names!
 
Nakuona muarabu Koko, juzi Kuna habar one trend Sana ya binti Wa kiganda kutolewa Figo Na Bosi wake, hizo Ni case chache tu zipo nyingi kama hizo za wafanyakazi Wa ndani ambao wanapitia mateso Na manyanyaso kutoka kwa hao waarabu
 
Nakuona muarabu Koko, juzi Kuna habar one trend Sana ya binti Wa kiganda kutolewa Figo Na Bosi wake, hizo Ni case chache tu zipo nyingi kama hizo za wafanyakazi Wa ndani ambao wanapitia mateso Na manyanyaso kutoka kwa hao waarabu
Tumia akili,hakuna hospital yoyote duniani,inayofanya upasuaji,bila saini ya anayefanyiwa upasuaji.Dunia nzima yapo mashirika ya kimataifa,na NGO za haki za binadamu,angemtaja jina huyo tajiri yake,na kampuni iliyompeleka,hili lingefuatiliwa kimataifa na mashirika ya haki za kibinadamu.Huyo dada aseme ukweli,kama figo yake,aliuza kwa hiyari yake.
 
Nakuona muarabu Koko, juzi Kuna habar one trend Sana ya binti Wa kiganda kutolewa Figo Na Bosi wake, hizo Ni case chache tu zipo nyingi kama hizo za wafanyakazi Wa ndani ambao wanapitia mateso Na manyanyaso kutoka kwa hao waarabu

Una kithibitisho gani ewe naswara/myahudi mweusi? Kabla yakutolewa figo lazima saini ihusike pale,, hospitali za wenzetu zimeendelea unadhani Afrika huko!!!!. Sema tu mnachuki sana na waarabu na kuupiga vita uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…