4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Sio hoja....Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
ni muhimu sana kua na heshima na nidhamu walau ya kibinadamu tu kwa viongozi wakuu wa Taifa letu,Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
Huyu Mama kuna kitu anatafuta kwetu.Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
Katiba ina ruhusu au ina mruhusu na Bunge haina meno au Nia. ya kufanya inachotakiwa katika Hali ya kumsaidia ili afanye kufuatana mategemeo ya wa TzHuyu Mama kuna kitu anatafuta kwetu.
Auze mara ngapi?Huyu mzanzibari akipewa mitano tena ataliuza taifa hili
Uzeni machawa lakini sio rasilimali zetu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable , Pascal Mayalla, MamaSamia2025 , chawa wa mama, Malaria 2 , ChawaWaMama, etcLeo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
We kwl bwege, mafuta yachimbwe yatufaidisheLeo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
wajinga na wenzao wapumbavu watabishaHuyu mzanzibari akipewa mitano tena ataliuza taifa hili
Acha ubaguzi, siyo kupewa ndiyo Rais tayari wa 2025-2030Huyu mzanzibari akipewa mitano tena ataliuza taifa hili
Jikite kwenye mada, na zingatia neo kuuza sio kubuni miradi, Taifa linakufa kifo kibaya kwa kuwa na watu vilaza kama wewe,Sio hoja....
Ni baba wa taifa aliyesimika jiwe la ujenzi wa mji mkuu wa kiserikali Dodoma....amekuja tekeleza hayati JPM(resty easy amen).....
Ni baba wa taifa aliyesimika jiwe la ujenzi wa bwawa la ufuaji umeme hapo Rufiji.... mtekelezaji amekuwa mwingine....
Kwanini mtekelezaji asiwe Rais Samia Suluhu Hassan katika tasnia ya mafuta yaliyojulikana toka awamu za nyuma yake ?!!
Wewe unasema hili kama nani? Acha upumbavu wewe sio MunguAcha ubaguzi, siyo kupewa ndiyo Rais tayari wa 2025-2030
PumbavuWe kwl bwege, mafuta yachimbwe yatufaidishe