Tanzania sio pango la wanyanganyi period Rais chukua hili kwa uzito mkubwa

ni muhimu sana kua na heshima na nidhamu walau ya kibinadamu tu kwa viongozi wakuu wa Taifa letu,

mihemko, ghadhabu na chuki binafsi dhidi ya mipango mahususi ya serikali sikivu ya CCM kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, sio turufu ya kukufanya umdhihaki kiongozi mkuu wa nchi.
Kumbuka,
kila zama na kitabu chenye hadithi yake, vitisho vyako tishianeni kwenye chama chenu gentleman 🐒
Kilaza kwenye mambo uliyobobea
 
Hivi mnavyosema mafuta waachiwe vizazi vijavyo hivyo vijavyo navyo wakiyachimba yanaisha na yakiisha wao watawachia nini vizazi vyao vijavyo?

Uarabuni na kwingine kwenye mafuta ambapo yameanza kuchimbwa tangu enzi mbona hawana hizi mentality za vizazi vijavyo na mafuta bado yapo wanaendelea kuyachimba?

Mafuta yachimbwe ila cha msingi stake ya Nchi iwe kubwa na hicho kinachopatikana kiwanufaishe wananchi.
 
Kilaza kwenye mambo uliyobobea
relax basi muerevu halafu ibua fikra mpya na mawazo mbadala bora zaid ya maoni yangu na kwakweli itapendeza zaidi,

makasiriko na mihemko hayana tija kwenye mambo haya ya msingi kitaifa :pulpTRAVOLTA:
 
Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .

Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.

Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????

Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
Toa taarifa sahihi mafuta yapo wapi?
 
ni muhimu sana kua na heshima na nidhamu walau ya kibinadamu tu kwa viongozi wakuu wa Taifa letu,

mihemko, ghadhabu na chuki binafsi dhidi ya mipango mahususi ya serikali sikivu ya CCM kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, sio turufu ya kukufanya umdhihaki kiongozi mkuu wa nchi.
Kumbuka,
kila zama na kitabu chenye hadithi yake, vitisho vyako tishianeni kwenye chama chenu gentleman 🐒
Wewe chawa hii mada ipo nje ya akili bandia, wapi kiongozi amedhiakiwa , sio kila kitu tuuze ,mengine tunaweza fanya wenyewe kama taifa , uwezo tunao tunakwama wapi, kama hatuna watu wenye uwezo ,tuajiri toka nje kwani shida nini
 
Dalali na genge lake hawawezi kukubali.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Wewe chawa hii mada ipo nje ya akili bandia, wapi kiongozi amedhiakiwa , sio kila kitu tuuze ,mengine tunaweza fanya wenyewe kama taifa , uwezo tunao tunakwama wapi, kama hatuna watu wenye uwezo ,tuajiri toka nje kwani shida nini
gentleman,
kiongozi wetu mkuu wa nchi na kipenzi cha waTanzania Dr.Samia Suluhu Hassan, anatekeleza wajibu na majukumu yote ya kitafa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, bila kujali chuki binafs za addicts wa siasa za mihemko, wala mayowe yasio na mbele wala nyuma, mithili ya hoja yako mahususi mezani,

Masuala ya kufanywa na waTanzania yatafanywa na wananchi wenyewe, na yale ambayo yatahitaji marafiki na wawekezaji kutoka ng"ambo yatafanyika pia, ila yote kwa yote ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote :pulpTRAVOLTA:
 
Kipenzi cha watz na andiko langu wapi na wapi.

Ipo siku wewe na wenzako makaburi yenu yatafukuliwa na mifupa yenu kupigwa pingu.

Mambo ya msingi mnaleta ujinga , binfsi naweza kuwa nampenda SSH kama Mtz mwenzangu, mama ,Shangazi n.k ila sio kama Rais wa nchi kwa mambo ambayo naona hayaendi sawa ,so usiwapangie watu maisha , kwamba kwako uonacho ni sawa basi kila mtu awe upande wako .
 
narudia kueleza tena gentleman kwa faida yako na wadau wengine wa JF, kwamba,

mihemko, chuki binafsi na makasiriko yako dhidi ya dhamira na nia njema ya kipenzi cha waTanzania wote DR.Samia Suluhu Hassan, haviwezi kumzuia kiongozi huyo madhubuti wa nchi, kutekeleza mipango mikakati ya maendeleo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Yale yote ambayo ni wazi yatawanufaisha waTanzania wote, yatatekelezwa kwa bidii na weledi wa kiwango cha juu sana bila kujali mayoye yako na ya wengine wa aina yako.

na ukamueleze na mwenyekiti wa chama chako kuhusu hili bila kificho :pulpTRAVOLTA:
 
Lambeni asali ila msivuke mstari mwekundu, asema Bwana
Acha uongo mkuu Bwana amesema wapi?
We mwenyewe ukipewa asali utasahau ulicho andika hapo
Cha msingi omba Mungu nawe ulambe asali
Leo hii ukateuliwa mkuu wa wilaya utakataa?? Sema ukweli kutoka moyoni??
 
Kipenzi cha watz na andiko langu wapi na wapi.

Ipo siku wewe na wenzako makaburi yenu yatafukuliwa na mifupa yenu kupigwa pingu.

Mambo ya msingi mnaleta ujinga , binfsi naweza kuwa nampenda SSH kama Mtz mwenzangu, mama ,Shangazi n.k ila sio kama Rais wa nchi kwa mambo ambayo naona hayaendi sawa ,so usiwapangie watu maisha , kwamba kwako uonacho ni sawa basi kila mtu awe upande wak
 
Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .

Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.

Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????

Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
This is very stupid

Hizi fossils fuels soon zitapoteza maana… makala ya mawe tayari hayauziki Kama zamani - kama tungeuza wakati ule labda Leo tungekua mbali zaidi

Texhnology is changing very fast

Nadhani kuuza Kama nchi ni idea nzuri na tungeuza faster lakini pia tuwe na refineries zetu hapa nchini Kama alivyofanya Dangote
 
Huyu mama pengine ni Rais asiye huru! Pengine ni mateka huyu, hivyo hana budi kutekeleza kila anachoambiwa na mtekaji!
Nashangaa, sisi kila kitu tuuze lini tutafikiri kufanya wenyewe, ita watu toka nje walipe kama huna watu wakufanya jambo husika ,

Miaka 60 ya uhuru tunawaza kuuza / kubinafisisha , sio kufanya wenyewe hii nini sasa alafu machawa yanaleta akili bandia.

Chukua vijana first-class peleka nje wakachukue ujuzi na warejee kuendesha mambo yetu , tunakwama wapi sijui,

Wakati mwingine unawaza hili taifa letu tulisaidiaje mpaka akili inafika mwisho
 
relax basi muerevu halafu ibua fikra mpya na mawazo mbadala bora zaid ya maoni yangu na kwakweli itapendeza zaidi,

makasiriko na mihemko hayana tija kwenye mambo haya ya msingi kitaifa :pulpTRAVOLTA:
Kaa kimya wewe. Huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya uchawa kupambania ugali wako.

Watu kama nyie ndio mliliingiza hili taifa utumwani. Jielewe na ujitambue Pro. Chawa
 
Back
Top Bottom