Bandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwendaGentleman,
hata mihemko na makasiriko dhidi ya mawazo na maoni mbadala dhidi ya kitu ambacho hujapenda kielezwe hadharini kwa usahihi ni miongoni mwa ubabaifu katika mjadala š
Bandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwendaGentleman,
hata mihemko na makasiriko dhidi ya mawazo na maoni mbadala dhidi ya kitu ambacho hujapenda kielezwe hadharini kwa usahihi ni miongoni mwa ubabaifu katika mjadala š
na bado matapeli na vibaka wa kisiasa nchini wamekutapeli kapesa kako kadogo kidigitali mchana kweuupeeeee, huku ukijona mwenyewe, dah š¤£Bandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwenda
Naungana nawe.ni muhimu sana kua na heshima na nidhamu walau ya kibinadamu tu kwa viongozi wakuu wa Taifa letu,
mihemko, ghadhabu na chuki binafsi dhidi ya mipango mahususi ya serikali sikivu ya CCM kwa maslahi mapana ya waTanzania wote, sio turufu ya kukufanya umdhihaki kiongozi mkuu wa nchi.
Kumbuka,
kila zama na kitabu chenye hadithi yake, vitisho vyako tishianeni kwenye chama chenu gentleman š
Acha viende. Serikali ambaye ndio mmiliki ameona avipeleke huko wewe shida yako ni niniBandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwenda
Serikali sio mmiliki ni msimamizi wa maliasili wenye Mali ni wananchi, viongozi ni waajiriwa wetu sisi wananchi hivyo hawana mamlaka ya wanayoyafanya ,uvunjifu wa katiba tuAcha viende. Serikali ambaye ndio mmiliki ameona avipeleke huko wewe shida yako ni nini
Umesema vema kabisa. Msimamizi anapangiwa cha kufanya? šSerikali sio mmiliki ni msimamizi wa maliasili wenye Mali ni wananchi, viongozi ni waajiriwa wetu sisi wananchi hivyo hawana mamlaka ya wanayoyafanya ,uvunjifu wa katiba tu
InasikitishaKatiba ina ruhusu au ina mruhusu na Bunge haina meno au Nia. ya kufanya inachotakiwa katika Hali ya kumsaidia ili afanye kufuatana mategemeo ya wa Tz
Basi aombewe tu na nabii Steve NyerereHuyu mama pengine ni Rais asiye huru! Pengine ni mateka huyu, hivyo hana budi kutekeleza kila anachoambiwa na mtekaji!
Mnaongelea historia, sasa watu wanatumia Magari ya umeme na gesi. Hayo mafuta yatawadodea!Hivi mnavyosema mafuta waachiwe vizazi vijavyo hivyo vijavyo navyo wakiyachimba yanaisha na yakiisha wao watawachia nini vizazi vyao vijavyo?
Uarabuni na kwingine kwenye mafuta ambapo yameanza kuchimbwa tangu enzi mbona hawana hizi mentality za vizazi vijavyo na mafuta bado yapo wanaendelea kuyachimba?
Mafuta yachimbwe ila cha msingi stake ya Nchi iwe kubwa na hicho kinachopatikana kiwanufaishe wananchi.