4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
- #41
Ni kweli lakini kila mtu anayo tunatofautiana level tuMental health ni serious issue
Ni kweli lakini kila mtu anayo tunatofautiana level tuMental health ni serious issue
Na atauza Kwa wanunuzi wawili tofautiHuyu mzanzibari akipewa mitano tena ataliuza taifa hili
Time will teriLeo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
Hivi mnavyosema mafuta waachiwe vizazi vijavyo hivyo vijavyo navyo wakiyachimba yanaisha na yakiisha wao watawachia nini vizazi vyao vijavyo?
Uarabuni na kwingine kwenye mafuta ambapo yameanza kuchimbwa tangu enzi mbona hawana hizi mentality za vizazi vijavyo na mafuta bado yapo wanaendelea kuyachimba?
Mafuta yachimbwe ila cha msingi stake ya Nchi iwe kubwa na hicho kinachopatikana kiwanufaishe wananchi.
Churq Uza vyote ili kusifia kinafiki kuishe... pambavu.. uza vyoteLeo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi .
Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua kwamba umevikuta kwa maana watangulizi wako waliviacha , na sio kwamba hu Rais basi unawazidi wenzako waliokutanguli namanisha ,Mwalim, Mwinyi, Mkapa Jk , Magufuli , hii acha mara moja asema Bwana.
Leo tupo kesho hatupo , vitukuu vyako unataka kuwachia nini ndani ya Taifa lao ????
Nikuombe hachana na hii by mzalendo a. k.a mbatizaji 47
huenda mtumwa umebaki wewe pekeyako tu gentleman,Kaa kimya wewe. Huna hoja yoyote ya msingi zaidi ya uchawa kupambania ugali wako.
Watu kama nyie ndio mliliingiza hili taifa utumwani. Jielewe na ujitambue Pro. Chawa

Jitahidi sana uwe unasoma vitabu vya global economics ili uwe na upeo wa kukusaidia kuwa na Mawazo na maamuzi ya maanaNi kweli lakini kila mtu anayo tunatofautiana level tu
Pumbavu bibi yakoChurq Uza vyote ili kusifia kinafiki kuishe... pambavu.. uza vyote
Huna hoja yoyote we chawa endelea kupambania ugali wako.huenda mtumwa umebaki wewe pekeyako tu gentleman,
ambae waziwazi kabisa unadhulumiwa pesa zako na matapeli wa kisiasa kidigitali, lakini pia unarubuniwa uhuru na haki zako za kikatiba katika kushiriki michakato ya kidemokrasia na vibaka wa siasa mchana kweupe, kama zuzu vile![]()
Nimeisha kwambia wewe na wenzako ipo siku mifupa yenu itakuja kufukuliwa na kupiga pingu , Mungu amewalaani machawa wotehuenda mtumwa umebaki wewe pekeyako tu gentleman,
ambae waziwazi kabisa unadhulumiwa pesa zako na matapeli wa kisiasa kidigitali, lakini pia unarubuniwa uhuru na haki zako za kikatiba katika kushiriki michakato ya kidemokrasia na vibaka wa siasa mchana kweupe, kama zuzu vile![]()
Kama huna hoja kaa kimya au pita kama unaaga msibaniPumbavu bibi yako
Vimekusaidia nini , kama akili ndo hii , alafu ndo mnajiita think tank ya Taifa,Jitahidi sana uwe unasoma vitabu vya global economics ili uwe na upeo wa kukusaidia kuwa na Mawazo na maamuzi ya maana
Kuwa radical bila kuwa wel informed kutakunyima fursa ya kuishi maisha unayostahili na kuishia kuishi maisha ya wenye agenda zao
For us to progress rapidly, uwekezaji na mauzo ya mafuta should be done yesterday
Tumeisha uza vingapi mbona hatuoni matokeo? Deni la Taifa kwa sasa limefika sh ngapi?Jitahidi sana uwe unasoma vitabu vya global economics ili uwe na upeo wa kukusaidia kuwa na Mawazo na maamuzi ya maana
Kuwa radical bila kuwa wel informed kutakunyima fursa ya kuishi maisha unayostahili na kuishia kuishi maisha ya wenye agenda zao
For us to progress rapidly, uwekezaji na mauzo ya mafuta should be done yesterday
Aisee vinasaidia sana tuVimekusaidia nini , kama akili ndo hii , alafu ndo mnajiita think tank ya Taifa,
Kweli uko shallowTumeisha uza vingapi mbona hatuoni matokeo? Deni la Taifa kwa sasa limefika sh ngapi?
Je mpaka sasa serikali inaweza kusimamia bajeti yake nyenyewe bila kutembeza bakuli?
Hili Taifa halitakuwepo baada ya miaka 200 ijayo , kwamba tuuze kila fulsa iliyopo? Haiwezekani
Tena kwa bei watakayo , ila napendekeza iwe tsh 500 kwa hawa machawaUzeni machawa lakini sio rasilimali zetu Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable , Pascal Mayalla, MamaSamia2025 , chawa wa mama, Malaria 2 , ChawaWaMama, etc
Ukoo wako wote , hakuna mwenye level niliyo nayo , sasa wewe ndo nani useme nipo shallowKweli uko shallow
Je uchumi wa nchi yetu Kwa Leo ni kisi gani? Na tukilinganisha na 15 years ago tumepanda Kwa kiasi gani?
Acha linganisha izo nchi na kwetu ambapo ufisadi umetawala kwa kiwango cha lami, leo mkuu wa nchi anaweza shauriwa kuuza ila pesa nyingi zikabaki kwa mafisadi,Hivi mnavyosema mafuta waachiwe vizazi vijavyo hivyo vijavyo navyo wakiyachimba yanaisha na yakiisha wao watawachia nini vizazi vyao vijavyo?