Tanzania sio pango la wanyanganyi period Rais chukua hili kwa uzito mkubwa

Gentleman,
hata mihemko na makasiriko dhidi ya mawazo na maoni mbadala dhidi ya kitu ambacho hujapenda kielezwe hadharini kwa usahihi ni miongoni mwa ubabaifu katika mjadala πŸ’
Bandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwenda
 
Bandari imekwenda,ngorongoro ,imekwenda,KIA, imekwenda
na bado matapeli na vibaka wa kisiasa nchini wamekutapeli kapesa kako kadogo kidigitali mchana kweuupeeeee, huku ukijona mwenyewe, dah 🀣
 
Naungana nawe.
Acha wauze tu maana hata wao wakiacha wapo watakuja watauza. Viuzwe viishe nasi tuendelee kununua kwingineko Duniani. Rasilimali hizi ni za Dunia nzima. Tunachelewesha matumizi kwa wengine..
Hii ni ndoto mbaya sana Mr πŸ’
 
Serikali sio mmiliki ni msimamizi wa maliasili wenye Mali ni wananchi, viongozi ni waajiriwa wetu sisi wananchi hivyo hawana mamlaka ya wanayoyafanya ,uvunjifu wa katiba tu
Umesema vema kabisa. Msimamizi anapangiwa cha kufanya? πŸ˜€
 
Mnaongelea historia, sasa watu wanatumia Magari ya umeme na gesi. Hayo mafuta yatawadodea!
 
Hahaha Tanzania Islamic Republic inamafuta, Ngoja tuchimbe tutaambiwa kila mtu atapata Bajaji moja.

Tukiisha sign mkataba utasikia stori kama zile tuliambiwa Tanzania hatuna Gas inamilikiwa na walotafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…