Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

Tanzania: Spika wa bunge siyo mwanasheria na Waziri wa Katiba na Sheria siyo mwanasheria lakini inaongoza kwa Utawala Bora Afrika Mashariki!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake.

Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo mwanasheria na msimamizi mkuu wa Katiba ambaye ni waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba siyo mwanasheria.

Itoshe tu kusema nawatakia Krismas yenye baraka wanajamvi wote.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ni aibu na fedheha watoto wanaokuita Baba, wenye Baba wa ajabu kama wewe!
 
Nilidhani uliahidi utaacha leta nyuzi za namna hii.... imekuwaje tena mkuu😄
 
Mada chokonozi hii! Sijui km ni sahihi hata km tunaongoza. Nafikiri hadi sherehe za mwisho wa mwaka zitakapoisha tutaendelea kuona mada Nzuri na fikirishi.
 
Aise, ila hata ma veterinary doctor wapo wanaosajili laini na voda.
 
Back
Top Bottom