Ni jambo la kujivunia kwamba tunapokuwa na viongozi waliojawa uzalendo mioyoni mwao basi yoyote anaweza kuongoza popote bila kujali au kuzingatia taaluma yake.
Tanzania ni nchi inayopigiwa mfano kwa utawala bora Afrika ya mashariki lakini mkuu wa chombo cha kutunga sheria ( bunge) siyo mwanasheria na msimamizi mkuu wa Katiba ambaye ni waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba siyo mwanasheria.
Itoshe tu kusema nawatakia Krismas yenye baraka wanajamvi wote.
Maendeleo hayana vyama!