Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

Tanzania Stand Up, Heshima kubwa kwa Viongozi wa Kiroho wa Nchimbi na Mpango

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,

Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na ujinga

Ifike mahali as a rational human , ujiulize maswali yenye utimamu !

Inawezekanaje wewe Makamu wa Rais ukajiita makamu wa Rais huku watu zaidi ya elf 10 wamelala chini ya ardhi ili wewe imperfect being uwe makamu ?

Hongera E. Nchimbi , na tumekuondoa kwenye dhambi ya mauaji ya halaiki. Haiwezekani ndani miaka 3: makamu wa Rais 2 wajiuzulu katika kipindi kifupi sana ! What a shame kwa Taifa

Je ni nani mwenye shida ?

Mauaji ya halaiki ya Oct 29 ni aibu kubwa kwenye Taifa letu , hata tufanye drama gani , hilo doa ni muhuri wa moto ili kuutoa ni lazima kuanzia Rais , wakuu wa vyombo vya ulinzi vyote to step down , hiyo ndio njia pekee ya kusafisha damu ya watanzania . , Nchimbi amewakilisha hisia za watanzania…na viongozi ndani ya Serikali wasiokubaliana na outcome ya wahuni… so it is not going to get better …,:

Ni wakati sasa pia wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama mpate Ujasiri na mtoke mbele kulinusuru Taifa. Otherwise nchi inaharibiwa., na wahuni fulan ambao ni wazee na wastaafu wenye less than 20 years to live

Tanzania is no longer the Tanzania we know

. Lazima nchi irudi kwa wananchi ili tuwe salama. The national cake must be protected and equally distributed for the benefit of the people

Wote mtashitakiwa hadi Rais wenu , mark my words …. Mkono wa Serikali ni mrefu hata mkikimbia Serikali ya wakati ujao itawakamata na fedha zilizoibiwa zitarudi kwa watanzania , ni suala la muda

Nuremberg Trials isomeni

tulimwambia Polepole you are not safe kwa katiba hii, leo kifo cha polepole( high chances hayupo hai ) , balozi mwenye presidential appointment amekufa kama mbwa aliekosa mfugaji

What a shame …
kama huyo ndio balozi polepole , vipi kuhusu wewe ?

Ni wakati wa katiba mpya, it is now or never …: otherwise it is not going to get better

Dr Megalodon Mushi, MD, MMed,PhD
University of Ottawa
Rue 52
Canada 🇨🇦
 
Back
Top Bottom