unajua weye mtindo wa kutupima imani wenzio wengine tuna presha...tumesawasizishia wapiiii
hebu acheni utani wajimini fifa yaonyesha mpira is jus dakika ya 80 tuko nyuma moja bila...dats ol we know
sasa nyie hayo 2 moja mwatoa wapi???
haya basii goli letu kafunga ivo mapunda au maximo mwenyewe???[/QUOTE]
Siki live kama unakinyaka kifaransa kwenye link hio......tumepigwa